Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #101
Ni kweli kuna watu wanapendeza. ila mi nadhani kila mtu anapendeza akitokelezea simple.wamefunga ndoa watatu!!!!!!!!!!!! aiyaaaaaaaaaaaaaa
ni kweli wamependeza. wakati mwingine simple makeup inawapendeza watu wengine!
kwa macho yangu ma-make up yakizidi yanachafua