Nimempenda huyu bi harusi

Nimempenda huyu bi harusi

Sitaki aende kwa barazuli Asprin
We bazazi mwana mroka pabaya uwe na nizamu kwa wakubwa. Hujui snowhite alivyobongolala anaweza kuamini kuwa mie mtakatifu ni barazuli?

mi sendi huko usipate presha!kwn ile vacation si ni mwezi wa 1 mwakani?basi pana shaka!
Nawe umepotea njia kweli. Wenzio wanapanga folenikuja kupata bahati kwangu we unaigeukia mikosi. Tena usije kucheza na mimi tena..........
 
Last edited by a moderator:
We bazazi mwana mroka pabaya uwe na nizamu kwa wakubwa. Hujui snowhite alivyobongolala anaweza kuamini kuwa mie mtakatifu ni barazuli?

Nawe umepotea njia kweli. Wenzio wanapanga folenikuja kupata bahati kwangu we unaigeukia mikosi. Tena usije kucheza na mimi tena..........
naskia siku hiz mmefilisika wewe,hommie wako Kaizer, The Boss, wote modem zenu hazina uhai!ETI NI KWELI!
NAULIZA TU!
 
Last edited by a moderator:
hya tuwakilishe dada mkubwa!mi roho inaniuma sana kwa keli basi tu !
mdogo wangu wacha tu.......
Ukristu kazi sana
hasa unapomsikiliza bosi wako anasema
"Msijaribu kushindana na uovu kwa uovu, lakini shindeni uovu kwa wema".
na
"Wenye mamlaka watimize wajibu wao. Sisi wakristo tusamehe, tusijibu uovu, tudumishe amani na upendo katika taifa letu."
 
We bazazi mwana mroka pabaya uwe na nizamu kwa wakubwa. Hujui snowhite alivyobongolala anaweza kuamini kuwa mie mtakatifu ni barazuli?

Nawe umepotea njia kweli. Wenzio wanapanga folenikuja kupata bahati kwangu we unaigeukia mikosi. Tena usije kucheza na mimi tena..........

Tena uache uharibifu wako.. Ntakupa kesi ya ugaidi
 
Last edited by a moderator:
naskia siku hiz mmefilisika wewe,hommie wako Kaizer, The Boss, wote modem zenu hazina uhai!ETI NI KWELI!
NAULIZA TU!
snowhite umesemaje mwalimu wangu? yaani mishara ya walimu si imepanda sasa miye mwanafunzi nifilisikeje tena

tatizo umenipa homeowrk ngumuuu.....(eti nisipate muda wa kuteta na kale kabinti kapya jirani) matokeo yake ndo haya

mwishoni mtaniwazia mabaya bure
 
Last edited by a moderator:
mdogo wangu wacha tu.......
Ukristu kazi sana
hasa unapomsikiliza bosi wako anasema
"Msijaribu kushindana na uovu kwa uovu, lakini shindeni uovu kwa wema".
na
"Wenye mamlaka watimize wajibu wao. Sisi wakristo tusamehe, tusijibu uovu, tudumishe amani na upendo katika taifa letu."

"Rudisha upanga wako alani FP kikombe alichonipa baba sitakinywa?"
 
Last edited by a moderator:
snowhite umesemaje mwalimu wangu? yaani mishara ya walimu si imepanda sasa miye mwanafunzi nifilisikeje tena

tatizo umenipa homeowrk ngumuuu.....(eti nisipate muda wa kuteta na kale kabinti kapya jirani) matokeo yake ndo haya

mwishoni mtaniwazia mabaya bure
ahahahhaha mi nilikuwa naripori tu habari za magazetini kuhusiana na wewe, Asprin, Dark City, SnowBall, na The Boss eti inasemekana DCB na FINCA wamewapurura mbaya!modem zinapiga alarm weee waaapi!NILIKUWA NAULIZA TU LAKINI!
kuhusu homuweki ni kweli bana manake ni bora nikuzoeshe kazi ngumu ili hata matokeo yakibatilishwa uwe umeshazoea kazi za mairon boys!
 
aaah...mi wa kusubirin'busara' za serikali? subutu..usingenikubali kwen darsa laki,,,ebu njoo PM kwanz..
 
Back
Top Bottom