Nimempenda baba yake zaidi

Hold on Sky. Sijui itakuwaje kesho ukiwa na baba na ukavutiwa na ucheshi wa baba mdogo.
 
Hi account yako imeshambuliwa na virus au ni wewe kweli....hi speed ya "Sizonje" naona Ni kubwa kuliko uwezo WA engine alohhhh!!
 
Utakosa vyote....hujui huyo baba na mwanae wakoje. Na dhambi ya kugombanisha mtu na mwanae uko radhi kuibeba?? Unajua hiyo chuki itawafikisha wapi? Hiyo damu uko tayari kutembea nayo ??
 
Bado sijampa.
Mama mpatie tu nafsi yako isuuzike. Kumbe hata nyie wanawake mna tamaa kali kiasi hicho. Any yawezekana pamoja wewe kumtaka huyo Faza yeye hana mpango na wewe. So take care
 
Sasa nimeamini kuwa ww si wa Marne hili! Shikamoo bibi
 
Kula kisirisiri na mzee ila usishikwe na bwana pepsi...

Daah so sad kumbe huna future na dogo aisee
 
Bora ukaachana nao wote kwa kujali future yako.Hakuna mahali mwanamke aliwahi penda hakuumizwa mi nakwambia,kupenda sio asili yetu asili yetu kupendwa, jaribu kutunza heshima yako .Siku mkikwazana na mzee utaomba ushauri kwa nani ?,kwa sababu ni ngum mwanaume kukubaliana na hali kama hiyo, na kosa la kugeuza majeshi halisameheki kwa wanaume huu ni ukweli uujue leo.Wdada sie mchumba anaweza kugeukia kwa mdogo wako au dada sie tukapotezea na maisha yakaenda ,ila wanaume wana wivu usioisha achana na hiyo mambo ya kolomije we mtu mzima utaaibika ujue.
 
Jilipue kiaina
 
Sasa wewe dada, hapo umemuona baba mtu ukampenda, bado hujamuona kaka yake huyo mwanamume, na Bado hujamuona mdogo wake yaan ba mdogo wa mchumba wako...

ukizoea kula nyama ya binadamu huwezi kuacha....
 
Dah...unachokitaka utakipata..we kuwa jaribio ili uje uwape wenzio wenye tamaa kama wewe wosia apo badaye. Najua mzee atakupiga mashine...na ata kutosa coz hatakuwa tayr kuaribu mahusiano na mwanaye..alafu wewe ndo utakimbia kwa gear za angani..
 
Alafu badaye unakuta kijana anakuja kumuoa mdogo wako..tunaitaga "the POWER OF KARMA"
 
Mwambie ukweli Kijana. Kwamba ume mpenda baba ,.......
Kwani sihamja kula tunda?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…