Nimempata Asiyebadilika...

Nimempata Asiyebadilika...

Mmh! nashabikia arsenal (ila sina jezi), nimezaliwa march (ila si tarehe tajwa). mrembo katuharibia kweli

hadithi yako inatufundisha kwamba ukiwaambia wanawake hutowagusa mpaka siku ya ndoa, huwa wanaogopa kuuziwa....
 
Afadhali Ebenezer amekua kimbilio lako I hope atakuongoza kama ukitaka kuongozwa nae tena yeye ndiye jibu la maswali yako yote .
 
.....mbuzi kwenye gunia,pia ni tahadhar kua usijaribu kamwe kumuamin wala kumtegemea mwanamke chini ya jua,,atakufanya kitu hujawahi kuona.
 
mkuu hata mimi hua wananisumbua watu kama hawa wanaoquote post ndeeefu , si vibaya kujibu moja kwa moja maana wote tunaelewa mchango unakua unatoa majibu katika ishu gani

haki kabisa!

na msikie nyie mnaoquote post. ni bora mtu ukareply tu kawaida!

tutauona mchango wako hewani!

iwafikie wana jf wote!
 
Miss u2 Mentor jamani,, hope xmas ilikuwa poa kwako.
tinna cute mbe..itakuwaje poa ilhali hata pm kutoka kwako sijaipata hadi waleo lakini!??

Ni shidaa mbe...Quote ya dada Heaven on Earth hiyo hapo juu..Imenipa mi-hopes...u knw wat i mean:israel:

Duh kweli Rural Swagga, kuna wadada wanatia moyo (hope) kuwa mabinti wazuri wanaojiheshimu wapo...the problem is; they are either your sisters ama wameshaolewa! #***

Kwa kweli...karibu sana

Asante mbe...tutaanza mwakani basi! #unikumbushe

Ila kaka kama vile ulikuwa uko resi sana,hata mwezi hujatimia wee ukadondosha cd ya kutaka kuoa kabisa!!!!!

Labda hilo ni kosa pia ee?? #didin 'tKNOW

Pili kuhisi ndie mwenyewe bila kujali mazingira mliyokutana kidogo bado naona haiko sawa,japo hakuna formula ya mazingira.

Mazingira hayakuwa mabaya hasa ukizingatia kuwa ni mechi tulienda kuangalia mkuu! Plus, kama usemavyo...hakuna formula ya mazingira ya kukutana. mkuu BAK naomba umudediketie lile lisongi la 'We found love in a hopeless place - rihana'

Mwisho style yako ya kupenda ndio yenyewe,kwa moyo wote.na kwa style hiyo utampata tu ila ukiweza tumia njia ya kumtafuta na usisubiri atokee mitaa yako.

Amina...natafuta mbe!

Kila lakheri na pole.

Asante na Asante.

Dah hata kama ni hadithi ila imenikumbusha mbalia sana nadhani natakiwa kuwa single hadi Yesu atakaporudi.

Mkuu Mwadunda na mpwa Elli, tafadhalini share with us hizo hadithi zenu basi walau na sisi zitusaidie kuepuka majanga!

Bado nipo nipo kwanza mkuu Mentor, labda ulikaa mbali sana na huyo mrembo na pasipo mawasiliano pia thus why hata uvumilivu ambao ulizani binti anao na hasa ukizingatia ni Arsenal fans ukapotea. Out of site, out of mind. Maandalizi mema ya mwaka mpya 2014 na series mpya nyingine katika kuondoka katika kuwa bado upo upo sana.

Hehe mkuu Lyagwa, wish ungefahamu mahali tunapoishi na ukaribu/umbali tulionao. Nahisi tu sikumfahamu vyema...but then again, tunajifunza kutokana na makosa.

Nakutakia na wewe maandalizi mema ya mwaka mpya mkuu.

Yaani nimejikuta natabasam haha, hata kama story inasikitisha, pole mwaya, ulivobadilisha hayo mapambio hahaha
Tafta mdada wa Liverpool, sie hatuna hizo issue kama za wadada wa Arsenal

Ahaha Liverpool wazee wa kulalamika sana pamoja na kukumbushia yaliyopita naogopa!

Labda sasa nitafute mpenda Basketball. But then again huwezi kujua bila kujaribu ( Cc: babu Asprin). Mamii Leney, am kamiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiing!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!😛ray:

<bold> Cc: Smile, BAK, Wacha 1, Belo, mwallu, BelindaJacob.
 
Last edited by a moderator:
heeee mbona nimepitwa!nakukubali sana besti!your stories always rock hun!

Asante sana mimi49...

Afadhali Ebenezer amekua kimbilio lako I hope atakuongoza kama ukitaka kuongozwa nae tena yeye ndiye jibu la maswali yako yote .

Amina mkuu Ablessed!

God is Great At All Times

Amen! Amen!

.....mbuzi kwenye gunia,pia ni tahadhar kua usijaribu kamwe kumuamin wala kumtegemea mwanamke chini ya jua,,atakufanya kitu hujawahi kuona.

Ahahaha kaka km hawa dada zetu huwa hawaeleweki kwa kweli:

Ukikutana naye atakuambia SIKUPI TUNDA MPAKA NDOA...ukikataa unaonekana unataka kumtumia usepe. ukikubali ndo hayo anaenda kugongwa nje. Ni nini hasa wanachotaka?

Kula like kuuuuubwa!bora kua peke yako mkuu.

Heheh kuna wakti utafika utachoka kuwa peke yako I tell you!
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh......hivi kumbeeee......pole sana Mentor!
Wewe songa mbele huku ukimtumainia Mungu wako!
 
:clap2::clap2:"Mwambie ee Yesu mwambie ee x 2
anaweza yote Yesu mwambie
atakushindia Yesu mwambie":clap2::clap2:
 
Usihofu Mentor niza sapurize yako ya new year we subili tu PM yangu.
 
Last edited by a moderator:
Ahaha Liverpool wazee wa kulalamika sana pamoja na kukumbushia yaliyopita naogopa!

Labda sasa nitafute mpenda Basketball. But then again huwezi kujua bila kujaribu ( Cc: babu Asprin). Mamii Leney, am kamiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiing!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!😛ray:

Hahahah, Babu (Asprin), hebu njoo umuone huyu apa ana kamiiiiiiiiing..kumbe hua kweli anafata ushauri :lalala:
 
Mwekundu niajjeh?
Mwisho wa mwaka huu, wapi bambucha?

Damn it!!alikua na nia ya kukubambikia mimba na watoto hopeful
Mwenzio my marital status is "worried" kila kinachopita mbele nakiogopa
Umenifurahisha kuwa atakua mvumilivu sana kwakua timu yake Asernal haijachukua kikombe kitambo lakini bado anaishangilia
 
Hahahahahahaaaa!
Kaka Mentor niajjeh?
...
Nilipokua napita ktk orodha ya thired zilizopo MMU now, nikakuta hii ya kwako!
So nikajisemea ngoja nikasome thired ndefu! Hahahahahaaaa!
...
Za kuuaga 2013 zinaendaje?
 
Mentor ndugu yangu kila siku unaishia kulizwa. Pole sana, ila ipo siku utafanikiwa.
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh......hivi kumbeeee......pole sana Mentor!
Wewe songa mbele huku ukimtumainia Mungu wako!
Paloma weeee...ulidhani ni utaniee!

Nahitaji bembelezo lako...

Mpwa wangu Mentor ngoja kwanza huu mwaka uishe vizuri hapa nilipo nasikilizia hiki kibao cha Abihudi Misholi

Burudika nacho pia
tenda miujiza by mchungaji abiud mishuli - YouTube

Asante mpwa!

Hahahahahahaaaa!
Kaka Mentor niajjeh?
...
Nilipokua napita ktk orodha ya thired zilizopo MMU now, nikakuta hii ya kwako!
So nikajisemea ngoja nikasome thired ndefu! Hahahahahaaaa!
...
Za kuuaga 2013 zinaendaje?

Hii umefanikiwa kuisoma yote!??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom