Nimempata Asiyebadilika...

Nimempata Asiyebadilika...

...1
Nipigie..., mpenz wangu nipigie,.....


...2
Mashaxizo.....jamaniiiiiiiiiiiiii!

Hilo halikuwa lengo langu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

...1
Kaka achana na huyo mchimba chumvi anaejifanya Mungu mtu!!!

...2
hahahahahaaaaa!
Itabidi uniambie lengo lako basi!
Mimi nimejifunza hayo, kama vipi proof if nimejifuza sicho!
 
Last edited by a moderator:
Nipigie..., mpenz wangu nipigie,.....

......tupigianeeeee, ............napika jikoni...........
ila mie sikujui atii, and those words are my signature doted with my avatar
 
Duu!! wewe ni mkali sana yaani uandishi huu sijawahi ona kabisa nimesoma vitabu vya akina
kingsway, martini delwayo hawakupita kama wewe sasa mwaka ujao yabidi utoe kitabu chako
dogo wewe mkali sana
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh mentor ulikua hujui ww mwenyewe unabadirika, asiyebadirika ni Mungu tu!!!!

tulia utapata tu ila uache eat n run na ww nataniaaaa!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom