big up sana kwa uandishi mzuri! ila kama ni kweli kuhusu huyo mdada duh im speechless!
mmh! hadithi hizi!
tumtumie vizur uyu MUNGU tunaemuita....either uchague maj moto au barid...lakin si vuguvugu...utaumbuka.......ndo nilichojifunza
Mentor hahahahaaa a.k.a Mzee wa Inside Verossa hahahhaaaa hii nayo imepamba sana. Aisyebadilika ni MUNGU peke yake aiseee. Nikitoa ushuhuda hapa mtaacha kufanya kazi zenu muanze kunililia hahahaaaaaaa! Safi sana sana, Nanyi iweni watendaji wa neno na si Wasikiaji tu......(mstari gani usinilize)
MESTOD acha hizo! hadith ya kweli kabisa hii mwache anionee huruma.
::
Aisee! Mambo haya.
=
Nyie mnao-quote post ndefu namna hii mnatuumiza tunaotumia simu!
Ooooohps!! Pole sana,,
Story zako huwa nazipenda sana.. Endelea kumtumainia alie juu ipo siku atakupa kilicho bora!
Yaani Mentor apate kama nilichojaliwa kwako ama?(Asipaone hapa mtoa thread)
Damn it!!alikua na nia ya kukubambikia mimba na watoto hopeful
Mwenzio my marital status is "worried" kila kinachopita mbele nakiogopa
Umenifurahisha kuwa atakua mvumilivu sana kwakua timu yake Asernal haijachukua kikombe kitambo lakini bado anaishangilia
itaendelea saa ngapi?
Ungeimega mega kidogo iendelee jioni ...lol
Ni story nzuri sana ila nikutie moyo kuwa likuepukalo una heri nalo,endelea kumuomba Ebenezer atakupa wa kwako
Mtambuzi njoo utoe marks hapa.
Ooooohps!! Pole sana,,
Story zako huwa nazipenda sana.. Endelea kumtumainia alie juu ipo siku atakupa kilicho bora!
Pole sana kwa yaliyokutokea.Mimi katika miaka hii siamini kabisa kama unaweza kumpata asiyebadilika.Lakini hukutueleza kama hiyo CVR ulikuwa umekwisha mkabidhi tayari au chali zilikucheza ukabadili mawazo,maana kuna msemo usemao kiendacho kwa mganga utamalizia .......
Stori nzuri napenda sana stori zako...........
mbona amabao hatuwezi kubadilika tupo sana sema unaona kweingine tu LOL
Mentor aiseee...mbavu yako ipo sehemu, Mungu ni mwema atakusaidia mpaka uipate ndugu
Story zako waga kiboko lakini umeikatisha ghafla mno eti wodini amejifungua mapacha,any way vipi yule wa Tanga aliyetaka kukuambukiza ngoma! hujaacha hako kamchezo kakupepesa macho eh
Chini ya jua hakuna kisichobadilika my Mentor hata we mwenyewe unabadilika leo iweje unasubiri asiyebadilika???:behindsofa::behindsofa::behindsofa:. happy ending 2013