Nimempata Asiyebadilika...

Nimempata Asiyebadilika...

Asiyebadilika ni Yesu tu na si wengineo,huo moyo wako tu unabadilika sembuse binadamu mwenzio. Anyway pole sana kwa mkasa huo
 
Asiyebadilika ni Yesu tu na si wengineo,huo moyo wako tu unabadilika sembuse binadamu mwenzio. Anyway pole sana kwa mkasa huo

Ni kweli kabisa mkuu Thad, tatizo nilichelewa kuligundua hili. Ila kwa sasa nipo makini sana. Na imenisaidia nina amani na furaha kwa kweli...huoni siku hizi sina visa tena kama zamani.

Bado tuko wiki ya ufufuo.... Angalia aya za siku kwenye TMW

Duh nilifika Mathayo 28:11-15 nikagundua jambo...
 
ni wadada wachache ambao ni warembo wanaojitambua na kujilinda! ukimpata wa hivi unamshukuru Mungu! usikate tamaa bado una nafasi ya kusubiri, huyu inaonekana alikuwa nao wengi na jinsi ya kuwaacha ilikuwa ngumu kwake,
 
Sio wadada wachache bali wengi sana.
 
Sio wadada wachache bali wengi sana.
huyu aliekuwa amempata kamsifia sanaa ila mwisho wa siku dada mrembo kam cheat mwenzie ndio maana nimesema ni wachache kwa dunia ya sasa!! ni mtazamo wangu tu, na hayo pia ni mawazo yako dada.
 
Back
Top Bottom