Nimempa ujauzito mwanamke nisiyempenda!

Pole kijana, kwa nini lakini unapenda kufanya ngono isiyo salama? Huna jinsi zaidi ya kukubali hali halisi japo kuwa inawezekana hata hiyo mimba sio ya kwako mana hao watoto wa chuo ni vicheche sana
 
Oa tu,
humpendi kwani ulilazimishwa kulala naye,
nyie ndo mnaowatia ujauzito watoto wa wenzenu kisha mnaanza,
hilo ni lako.
 
endelea kuwekeza si uliona mtaji kajileta mwenyewe ukajifanya kidume cha mbegu sasa unataka kimbia kwanini
 
kumbe nimefanya kitendo kibaya sana!kila ananidharau.

Katika maisha kukosea ni kawaida..kwako kosa lako limeenda kuathiri maisha ya kiumbe mwingine...hwezi kurudi nyuma inabidi ufanye maamuzi ili kuweza kusonga mbele...sio lazima umuoe uliyezaa naye,kaa na mchumba wako uwe wazi kuhusu yaliyotokea...mkalishe huyo binti uliyempa ujauzito umweleze hali halisi mkiwa pamoja na ukubali resposibility za malezi...maneno ya kukatisha tamaa ya watu humu yasikuondoe thamani yako km binadamu...hakuna asiyekosea,Kuwa karibu na Mungu wako ili akusaidie kuenenda kwa kufuata misingi ya imani...kila la heri na maisha lazima yaendelee tu...
 
Mmh jamani pole,alikubaka? Ulivyompa mimba na yeye alikupa nini? Hebu kapime inawezekana umeachiwa zawadi.
 
Kama umejisajili na mpesa muombe ahamishie hiyo mimba kwa mwanamke umpendae. Hongera baba kijacho!
 
Kwanza) .pole sana mdogo wangu kwa yaliyokutokea..
pili) nenda kachek afya yako maana umeshapita kavu kavu..
tatu) usirudie tena kufanya haya uliyofanya,siku hizi mwanaume hasifiwi kwa uhuni..
nne) mchukue huyo binti uliempa mimba mkapime DNA ujue kama hiyo mimba ni ya kwako..kama itakuwa siyo yako hongera sana maana utapata nafuu..na kama itakuwa yako...
tano).kaa chini na mchumba wako umwambie ukweli kuwa ulitembea nje na umempa mimba binti mwingine,mwambie ukweli kuwa humpendi huyo binti na umweleze wazi unampango gani na huyo binti pamoja na mwanao,halafu msikilize atasemaje na atakupa condition zipi kama atakuwa tayari kukusamehe.CHUNGA sana condition atakayokupa mchumba wako isiwe ya kumtupa mwanao,maan utakuwa umempa adhabu mtoto asie na hatia na pia huwezi jua kama MUNGU atakupa mwingine au yapi yatakutokea mbele,vyovyote itakavyokuwa usikubali kutupa mtoto ingawa mama humpendi.
sita).kama mchumba akikubali kukusamehe mwite huyo binti mwenye mimba yako umueleze ukweli mbele ya mchumba wako na mpango ulionao juu ya mtoto,na kama mchumba akigoma kukusamehe basi usimkere maana ndio utakuwa mshahara wa dhambi zako..kaa chini subiri mtoto wako ulee..
nane).sikushauri kabisa kumuo huyo mama mtoto wako wala kuishi nae sababu ya mtoto maana ni afadhali mateso utakayompa kwa kukataa kuishi nae kuliko ukiishi nae halafu ukamtenda ndivyo sivyo.
mwisho).kuwa na msimamo na maisha yako,kubali malipo yanayokuja baada ya makosa uliyofanya,na ujifunze kutokea hapo,SIMAMA mdogo wangu na usonge mbele maana kukosea ni sehemu ya maisha ya mwanadamu...kila la kheri na cheers..

wewe ni mtu mzuri,umezungumza vema,yaani kibaya zaidi familia yangu ni walokole,najua hapa kinachofuata ni kutengwa kanisani!najuta kutenda haya!eeh Mungu unirehemu.
 
Tatizo langu sikujua akili yake inawaza nini!nashukuru kwa ushauri wenu nyote!
Inabidi nikubaliane na ukweli huu mchungu,kuhusu afya yangu sina shaka nilicheki..tatizo ni huyu mtoto namuonea huruma sana,Mungu atanisaidia.
 
Hukuwa na mapenzi nae ila ulitembea nae tena kavu kavu kweli TZ bila ukimwi haiwezekani
 
hahaha wewe hukusoma mchezo...demu aking'ang'ania kuja kwako na kukupa mzigo kuwa chonjo. sasa la msingi ni kukubaliana na situation hii. huyo hawezi kukulazimisha umuoe lakini mwana ujiandae kwa vituko.

Ulicho kiongea kina uzito sana mkuu,
 
Kwanza) .pole sana mdogo wangu kwa yaliyokutokea..
pili) nenda kachek afya yako maana umeshapita kavu kavu..
tatu) usirudie tena kufanya haya uliyofanya,siku hizi mwanaume hasifiwi kwa uhuni..
nne) mchukue huyo binti uliempa mimba mkapime DNA ujue kama hiyo mimba ni ya kwako..kama itakuwa siyo yako hongera sana maana utapata nafuu..na kama itakuwa yako...
tano).kaa chini na mchumba wako umwambie ukweli kuwa ulitembea nje na umempa mimba binti mwingine,mwambie ukweli kuwa humpendi huyo binti na umweleze wazi unampango gani na huyo binti pamoja na mwanao,halafu msikilize atasemaje na atakupa condition zipi kama atakuwa tayari kukusamehe.CHUNGA sana condition atakayokupa mchumba wako isiwe ya kumtupa mwanao,maan utakuwa umempa adhabu mtoto asie na hatia na pia huwezi jua kama MUNGU atakupa mwingine au yapi yatakutokea mbele,vyovyote itakavyokuwa usikubali kutupa mtoto ingawa mama humpendi.
sita).kama mchumba akikubali kukusamehe mwite huyo binti mwenye mimba yako umueleze ukweli mbele ya mchumba wako na mpango ulionao juu ya mtoto,na kama mchumba akigoma kukusamehe basi usimkere maana ndio utakuwa mshahara wa dhambi zako..kaa chini subiri mtoto wako ulee..
nane).sikushauri kabisa kumuo huyo mama mtoto wako wala kuishi nae sababu ya mtoto maana ni afadhali mateso utakayompa kwa kukataa kuishi nae kuliko ukiishi nae halafu ukamtenda ndivyo sivyo.
mwisho).kuwa na msimamo na maisha yako,kubali malipo yanayokuja baada ya makosa uliyofanya,na ujifunze kutokea hapo,SIMAMA mdogo wangu na usonge mbele maana kukosea ni sehemu ya maisha ya mwanadamu...kila la kheri na cheers..

Bhaaaas.
Ume maliza kazi
 
Katika maisha kukosea ni kawaida..kwako kosa lako limeenda kuathiri maisha ya kiumbe mwingine...hwezi kurudi nyuma inabidi ufanye maamuzi ili kuweza kusonga mbele...sio lazima umuoe uliyezaa naye,kaa na mchumba wako uwe wazi kuhusu yaliyotokea...mkalishe huyo binti uliyempa ujauzito umweleze hali halisi mkiwa pamoja na ukubali resposibility za malezi...maneno ya kukatisha tamaa ya watu humu yasikuondoe thamani yako km binadamu...hakuna asiyekosea,Kuwa karibu na Mungu wako ili akusaidie kuenenda kwa kufuata misingi ya imani...kila la heri na maisha lazima yaendelee tu...

Ushauri mzuri sana huu.
 
wewe ni mtu mzuri,umezungumza vema,yaani kibaya zaidi familia yangu ni walokole,najua hapa kinachofuata ni kutengwa kanisani!najuta kutenda haya!eeh Mungu unirehemu.

Pole sana kaka,nilikua kwenye viatu kama ulivyo vaa.
Naelewa unacho pitia A-Z.

Binadamu hujidai sana kuwa wasafi na kunyooshea wenzao vidole
wakidhani wao ni wasafi sana,....jaribu kujiuliza kwanini unadhani
huwezi kumuona huyo binti?

Jichunguze kabisaaa,kama bado utaona uamuzi wako ni sawa basi ufuate.
Kuzaa na mtu sio tiketi ya kumuoa,ingawa mtoto kulelewa na mzazi mmoja
MARA NYINGINE kuna psychological effect kwa mtoto hasa kama ni mtoto wa kike
akalelewa na mama yake.

Uamuzi utakao uchukua lazima uwe na plan ya muhimu sana kuhusu mtoto wako,ataishi vipi
na mzazi mmoja na asiathirike,ata husiana vipi na familia yako (ya mke mwingine) na vitu kama
hivyo.

Ni ngumu sana,najua kila unacho pitia,maana nilikua hapo na nimeshinda ingawa inabidi
ujiandae kwa vituko toka kwa mama wa huyo mtoto pia,ukijiandaa utaishi kwa amani sana,ila
aki kufanyia vituko kwa surprise utajuta kuzaliwa.

Regards,
Speaker
 
Usitishike na maneno ya watu, we jiulize mwenyewe uzito uko wapi, maana kumuoa mtu usiyempenda ni kama kujitia kitanzi mwenyewe utaishi maisha yako yote ukijutia nafsi yako, maisha hayaji mara mbili kwa nn kujitesa? pia unaweza amua kumuoa huyo mjamzito ukajikuta unampenda badae pia for the sake of kid, pima yote na uamue na ubaki na mmoja, shit happen kijana na haya yanatokea sana sana kwa kuwa wote tunaishi chini ya dunia yenye vishawishi
 
wanaume nyinyi,najifunza mengi humu,hala hala huyo mtoto atakaezaliwa jamani,usije ukamtelekeza huyo mtoto.akijifungua salama,mpe mapenzi yanayostahili kwa mtoto.mueleze ukweli,girlfriend wako,ingawa ngumu kumeza.hilo kosa ulilofanya usije ukarudia tena
 
Jamani nisaidie ushauri,kama hujanielewa kaa kimya!

Ushauri gani sasa? ....we subiri tu kuachika kwa huyo mchumba ako manake umeshindwa kuwa mwaminifu......na inaonekana huyo usiyempenda amedhamiria kukuharibia so kazi unayo manake ndiyo kama hivyo binti mjamzito!

Kama mchumba ni mwelewa nenda kamweleze ukweli wote kama ulivyoeleza hapa....tena bora umwambie mapema kabla huyo mdada hajakuwahi!
 
kama unasema we ulikuwa humpendi kwa nini ulitembea nae ,tena alikufuuata geto,kumbe ulumwonesha hata geto lako ,la zaidi una mchumba na unasema unampenda, chunga sana usije kosa vyote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom