haaaa mbona hiyo simple we mpende mtoto tu mama achana nae lakini kama nawe humpendi mama yake kwa nini ulikubali ku do nae kamtego kadogo tu hako kamekukamataWakuu maji yamenifika shingoni,mwaka jana mwshoni,nlikutana na binti mmoja,mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo kikuu kimoja dodoma,baada ya siku kadhaa,nikatembea nae,lakini sikuwa na mapenzi kwake,lakini yeye alinipenda sana,akanisumbua kwa muda mrefu,nikaamua kumweleza ukweli kuwa mimi nina mchumba,lakini yeye hakuridhika,siku moja akang'ang'ania kuja kwangu usiku,alipokuja kwa bahati mbaya siku hiyo akashika ujauzito,sasa anawasiliana na mpenzi wangu baada ya kuiba namba kwenye simu,na ameng'ang'ania anataka kuzaa na mimi,kweli sina mapenzi naye na ninamchukia sana kwa haya alotendea,kanitegea mimba akidhani ntamuoa,siwez kumpenda kamwe,jamani nisaidieni kunishauri.
wewe ni mtu mzuri,umezungumza vema,yaani kibaya zaidi familia yangu ni walokole,najua hapa kinachofuata ni kutengwa kanisani!najuta kutenda haya!eeh Mungu unirehemu.
Mtafute na mama yake pia umpe mimba, si wewe unajidai hodari?
Tatizo hapa kun watu wanajifanya watakatifu sana. Hili linaweza kumpata mtu yeyote tu.
Usitishike na maneno ya watu, we jiulize mwenyewe uzito uko wapi, maana kumuoa mtu usiyempenda ni kama kujitia kitanzi mwenyewe utaishi maisha yako yote ukijutia nafsi yako, maisha hayaji mara mbili kwa nn kujitesa? pia unaweza amua kumuoa huyo mjamzito ukajikuta unampenda badae pia for the sake of kid, pima yote na uamue na ubaki na mmoja, shit happen kijana na haya yanatokea sana sana kwa kuwa wote tunaishi chini ya dunia yenye vishawishi
haaaa mbona hiyo simple we mpende mtoto tu mama achana nae lakini kama nawe humpendi mama yake kwa nini ulikubali ku do nae kamtego kadogo tu hako kamekukamata
Sauti ya mzazi mwenzie mtunza bustani aka gardner.
...my dear child, please sleep
don't cry like that, l am still alive for you.
Your father is a wolf
a hooligan
a rogue
a barbarian...
He ran away from me.
With his small head, child, your father was carried away in a handbag by a woman.
My child please, try to sleep; your father is building a nation
laying his eggs between thighs of wild women.
Child don't ask me where he is
I don't know; it's many years since l saw him.
Sleep, my papa
forget about him completely
he's still somewhere in this country
licking the feet of a woman
calling her, darling
honey
the way he used to call me when we were searching for you.
Your father has no sympathy.
If you were ill
or if you starved to death
that wouldn't worry him at all.
To him, it's all one thing
wheather you were alive or dead.
Child, when you grow up
you'll work for yourself
and I'm quite sure, my dear child
you'll not forget to buy me a blanket.
I'm soo scared now..
That's what gona happen!
I'm soo scared now..
That's what gona happen!
Pole sana kaka,nilikua kwenye viatu kama ulivyo vaa.
Naelewa unacho pitia A-Z.
Binadamu hujidai sana kuwa wasafi na kunyooshea wenzao vidole
wakidhani wao ni wasafi sana,....jaribu kujiuliza kwanini unadhani
huwezi kumuona huyo binti?
Jichunguze kabisaaa,kama bado utaona uamuzi wako ni sawa basi ufuate.
Kuzaa na mtu sio tiketi ya kumuoa,ingawa mtoto kulelewa na mzazi mmoja
MARA NYINGINE kuna psychological effect kwa mtoto hasa kama ni mtoto wa kike
akalelewa na mama yake.
Uamuzi utakao uchukua lazima uwe na plan ya muhimu sana kuhusu mtoto wako,ataishi vipi
na mzazi mmoja na asiathirike,ata husiana vipi na familia yako (ya mke mwingine) na vitu kama
hivyo.
Ni ngumu sana,najua kila unacho pitia,maana nilikua hapo na nimeshinda ingawa inabidi
ujiandae kwa vituko toka kwa mama wa huyo mtoto pia,ukijiandaa utaishi kwa amani sana,ila
aki kufanyia vituko kwa surprise utajuta kuzaliwa.
Regards,
Speaker