Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,530
- 13,469
kumbe tamuuu eeeh ngoja nijilipue na mimi siku moja nifaidi utamu..
Mkiwa mmepima wote ofcourse, na when you are ready to be a mother no matter what!
kumbe tamuuu eeeh ngoja nijilipue na mimi siku moja nifaidi utamu..
kupima muhimu my dear ..... nipe miezi miwili nitakupa majibu ya kizygote hapa.... ngoja nijizalie mie ...Mkiwa mmepima wote ofcourse, na when you are ready to be a mother no matter what!
He remind me of the boy l used to know.....
Wimbo wa nani yule....
Kweli tena hiyo kauli nilisharushiwa ya usoni, na one Fundikira son; huenda akawa huyu huyu Boss wako. Inabidi unipe ID yake ya ukwelii.
You have no idea, ukishapata ndio utaelewa. He is big, 11 yrs now!
Sio hivyo tu, anasema l am the best mom in the whole world!
haukuwahi kusikia matangazo ya kutumia kifudusi(condoms)??????????
sifikirii kumtelekeza mtoto lakini pia sifikirii kumuoa mama yake mbaya zaidi sihitaji kuwa na watoto wa mama tofauti.
I hate hiyo sentensi, maana nilishaambiwa hivyo wakati nimeenda home kujifungua mtoto wangu wa ujanani. i met vijana ambao tumekuwa nao kitaa nikiwa nasukuma mtumbo; halafu mtu ananiambie, "hivi Kaunga, matangazo ya condoms wewe hujawahi yaona?"
Ukweli mchungu
mtoto wa ujanani au watoto wa ujanani? lol
no wonder Eiyer cant handle you lol