Nimempa ujauzito binti nisiyempenda....nifanye nini?

We acha kutuzingua Muoe binti wa watu muda wote huo unalamba burebure ukitegemea nini? umepanda mahindi sasa yameota usisingizie ulitaka mpunga... tena pekupeku acha hizo bana we oa binti huyo ndo mkeo.
 
Mkiwa mmepima wote ofcourse, na when you are ready to be a mother no matter what!
kupima muhimu my dear ..... nipe miezi miwili nitakupa majibu ya kizygote hapa.... ngoja nijizalie mie ...
 
ukipanda mchicha utavuna mchicha..ishatokea na hakika mtoto wa muhimu sana so ushauri wangu oa tu huyo mwanamke..mmetoka mbali,,,ukimwacha ataolewa na nani wakati ushamzalisha?majibu yako hapahapa duniani
 
I will assassinate you with my bear hands, NO WAY!

He remind me of the boy l used to know.....
Wimbo wa nani yule....

Kweli tena hiyo kauli nilisharushiwa ya usoni, na one Fundikira son; huenda akawa huyu huyu Boss wako. Inabidi unipe ID yake ya ukwelii.
 
Pole sana kaka.
Lakini kwa nini kama kweli wewe hukuwa na mapenzi nae toka 2008 leo ni 2012 bado ulikuwa unashiriki naye tendo la ndoa? Wewe ndiye mkosaji katika hilo na hali ilivyo kwa sasa huna budi kumuoa tu ukizingatia kuwa hutaki kuzaa watoto wa mama tofauti na pia hutaki mimba itolewe
 
I feel you, I feel you!

Angalia usim-spoil, boys are very clever kwa mama zao.

You have no idea, ukishapata ndio utaelewa. He is big, 11 yrs now!

Sio hivyo tu, anasema l am the best mom in the whole world!
 
can somebody out there pulizzzzzzz explain to me, what love is????? lord have mercy! nimesoma hizo comments huko juu, na issue yenyewe ya mtoa uzi! kwa kweli we far from the HEAVEN!
 
ulitaka kumuacha mkiwa chuo lakini kwa huruma ukaendelea nae ili asiache chuo. Mlipomaliza chuo mkapangwa mikoa tofauti, kilichokufanya uendelee nae ni kitu gani tena? yaani mko mikoa tofauti lakini bado uhusiano unaendelea tena na mtu usompenda. unalo hilo, umelikoroga, linywe kaka yetu kwa roho moja. alikusitiri sana mkiwa chuo usihangaike hapa na pale. kwanza unajikanyaga hata hujui unataka nini, mara simtaki, mimba isitolewe, hutaki kuzaa watoto na mama tofauti, sasa ili usizae watoto wa mama tofauti, muoe.
usisahau kutuchangisha michango ya harusi.
 
oa tu kaka angu ila possibility ya kuwa na nyumba ndogo ni kubwa sana hasa kama demu mwenyewe humpendi..sikushauri sana kutoa mimba wala kumtosa kwani inavyoonekana mapenzi yake kwako ni makubwa sana japo mimi nae ingentokea kama hii ngeshachakachua ujauzito fasta sana..ila kwa nini kujingezea uovu katika maisha??
 
I hate hiyo sentensi, maana nilishaambiwa hivyo wakati nimeenda home kujifungua mtoto wangu wa ujanani. i met vijana ambao tumekuwa nao kitaa nikiwa nasukuma mtumbo; halafu mtu ananiambie, "hivi Kaunga, matangazo ya condoms wewe hujawahi yaona?"

Ukweli mchungu

mtoto wa ujanani au watoto wa ujanani? lol
no wonder Eiyer cant handle you lol
 
about five years yet wasema humpendi!? je kupenda ni nini yaelekea hujui maana ya hilo neno pia
uliweza muhurumia binti wakati mpo chuo kwanini usimhurumie mwanao damu yako atayelelewa hapo baadae pasipo na mapenzi ya baba na mama?
unafikiri mtoto ameanza kua tatizo angali mimba akikua atakuaje?
kua mwanaume rijali and be responsible foryour actions usitafute vigezo ooo cimpendi
jiulize hayo maswali na ujijibu.
 
Kwa nini ulimpiga katerero wakati umpendi? Ina bidi umchukue au ulee huyo mtoto
 
Wanajamvi nafuatilia kwa makini kabisa ushauri mnaonipa, nashukuru kwa kuwa baadhi yenu mmenielewa vyema na mnajaribu kuvaa viatu vyangu kabla ya kushauri. Hili naliona vizuri kupitia ushauri mnaonipa though some advices are bitter

Pia naheshimu sana ushauri wa baadhi ya wanajamvi ambao kwao jambo la muhimu kwa sasa ni kulaumu, nadhani hawa kwao ukweli kwamba jambo hili tayari limeshatokea (kwamba tayari mimba ipo) na halizuiliki tena si kipaumbele.

Labda nikiri tu kuwa kupitia uzi huu, hali ya kuchanganyikiwa na kushindwa kujua nini nifanye imepungua na kwakweli napata mwanga. Hapa nakubali kuwa "problem shared lead to problem solved"...

Naheshimu mawazo ya kila mmoja wenu, na naahidi mwishowe nitawashirikisha uamuzi nitakaofikia, bado nafuatilia ushauri mnaonipa
 
Nenda kaendelee kutengeneza masikio,pua,jicho akamilike mkuu kuacha nusu nusu sio poa.Kama huyo umpendi si wamejaa kibao wewe kamilisha kiumbe hicho kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom