Ipo siku TU
Member
- Nov 26, 2025
- 38
- 92
Level 5 mkuuNTA ngapi?
Yeye hana usemi kaka issue wazazi wakija chuo nikijulikana KAZI sina tenaIngependeza hata wakati unaichapa ungekuja kutuuliza, sasa umeichapa mpaka mimba imeingia ndiyo unatuuliza, anyway kwan bint yeye anasemaje
Ahsante sanaPole sana mkuu
Daaah hili nalo nenoBora ukose hiyo kazi kuliko kuikosa amani maishani mwako Kwa dhambi ya mauaji.
Nikitoa Mahari kaka inawezekana kuwa protective mechanism kwangu juu ya hiki kibarua?NTA 5 mkubwa katoe mahari
Hahaha 😂Uzinzi ni gharama sana. Discuss (5Marks)
Duuuh nasoma tena hii txtJambo dogo sana hilo! We mpange vzr ongea nae kiume, mwambie kadi ya kliniki aandike jina la mtu mwingine, mpatie bima ya afya, mpe uhakika wa kumtunza kipindi chote & maintain mawasiliano mazuri nae.
Endelea kumkaza kimya kimya.