Nimempa mimba dada fulani najuta kuzaliwa!

Nimempa mimba dada fulani najuta kuzaliwa!

Asante ushauri mzuri nillikuwa nawaza kukimbia pia
Basi ukikimbia itabidi korodani zako zibadishwe na kuwa kinembe! Maaana mawazo yako hayahitaji sifa ya kuitwa mwanaume! Mwanaume gani anayeyakimbia majukumu yake! Acha hizo... Kama hukutaka apate mimba kwa nini haukuvaa zana wewe?
 
Habari wanajamvi, nina balaa hapa, hadi hivi sasa nimekimbia Chumbani maana hakukaliki! Kifupi nina Mchumba tayari ila kwa bahati mbaya yupo mbali sana, suala lililoniweka mbali naye kwa takriban miaka mitano sasa!, yupo Chuo na Mwezi wa sita 4th atakuwa hapa TZ!. Sasa kama mnavyojua tena sisi wanaume tukikaa muda mrefu tunapatwa na Ugwadu/Ngunga! kitu nilichoona ni kigumu. Nilivumilia karibu miaka miwili ila uzalendo ukanishinda nikaona walao nitafute mahala niwe hata napiga mswaki, ili kutuliza mihemko maana mimi si mbuzi ni mtu!
Safari hiyo katika kutafuta mahali pa kupunguzia mihemko nilimpata dada fulani, ambapo kabla ya yote nilimuweka wazi kuwa nina mtu wangu hivyo asije akaja kufikiri kuwa mimi nitakuja kumuoa au kuwa na uhusiano nae wa kudumu. pia nikamshauri afuate njia za uzazi wa mpango ili kuzuia mimba zisizotarajiwa. Akakubali na kuniahidi kufuata niliyomuambia. Tukaanza kugegedana kwa speed kali sana nikamgegeda katika hali ya juu! kwa upande wangu nilikuwa nafikiri mwenzangu anafuata ushauri nilokuwa nimempa mwanzo., Kumbe alikuwa mwongo Ikafikia kipindi Tukiwa tunasex, kakaa au yupo nje, akawa anatapika hovyo! Duh machale yakaanza kunicheza nikamuuliza "vipi mbona sikuelewi" Akadai ana mimba ya Miezi miwili![emoji16] Nikashangaa mno nikamuuliza "kwani si ulisema unatumia dawa" akasema Nilitumia nikaacha! Nikamwambia kama unataka amani na mimi toa hiyo Mimba haraka sana, akakataa katakata!.
Basi nimekuwa na wakati mgumu mno, Nimekuwa kama kinda la njiwa!, Mke wangu kila saa ananipigia simu huku akidai amenimiss mno Mwezi wa sita ilikuwa aje tufunge ndoa!
Huyu hapa nae kipindi hiki ndo kawa msumbufu kuliko kawaida! kila sekunde akiniona anataka niwe nae tu, muda wote anataka niwe namnunulia vitu vichachuchachu na kumbeba[emoji24]! Nitafanya nini mimi! yaani nikimuona tu naona tabu, simpendi kabisa! kusema ukweli nampenda sana mwanamke wangu wa zamani. Ila kwa hapa nilipofikia nashindwa hata kuelewa nianzie wapi na nimalizie wapi huyu mwanamke nimfanyeje anikimbie mazima? anione kama takataka? naamini hiyo ndo itakuwa salama yangu.

Nawasilisha
Secret atar..
Achaga ujinga basi mkuu, hivi unajua ni kwa kiasi gani watu hutafuta watoto na wakati mwingine hua hawawapati, unauhakika gani kama huyo mwanamke anayesoma huko mbali atazaa mtoto ama hatakua na uwezo wa kuzaa. Acha ujinga bana acha mtoto azaliwe maisha yataenda tu usijali cha kufanya mchumba akija mueleze ukweli aamue kua nawe ama akatae basi
 
Dah..... Kacheki ngoma kwanza ndiyo uanze kulialia [emoji12] [emoji12]
 
Sasa kama anamimba yako si umuambie akurudishie kuliko kumchukia Dada wa watu
 
Ulipo sema atoe mimba ndio nika kuona pompompo kabsaa. Yaan atoe mimba kwa kuwa tu we demu wako anarudi mwez wa 6.
Daaah!!
Hata ushauri sitoi sasa kwa hasira
 
Achaga ujinga basi mkuu, hivi unajua ni kwa kiasi gani watu hutafuta watoto na wakati mwingine hua hawawapati, unauhakika gani kama huyo mwanamke anayesoma huko mbali atazaa mtoto ama hatakua na uwezo wa kuzaa. Acha ujinga bana acha mtoto azaliwe maisha yataenda tu usijali cha kufanya mchumba akija mueleze ukweli aamue kua nawe ama akatae basi
Sawa ila lazima niwe nae siwezi kumuacha huyo anayekuja
 
Yalishaga nikuta nilichoamua kufanya ni kumwambia ukweli mchumba wangu kwamba wakati haupo nimeharibu
Akanimwaga
Nikasema poa na mimi kwa hasira huyu mpuuzi nikamwaga nikaanza upya
Kwahiyo chukua hiyo damu yako yaani mtoto lakini usimfiche huyo mchuchu wako mpe makavu live akimaind poa
Piga chini wote anza upya
Nimependa concept yako[emoji3]
 
Sawa ila lazima niwe nae siwezi kumuacha huyo anayekuja

Hapana sio lazima,ni wewe ndiyo unasema ni lazma uwe nae ,but that is not the reality of the truth.

Na hayo yote yametokea sababu you were a little more involved with someone else.

'yourself´

Vanity ...the all natural opiate.


Take responsibility as a 'gentleman'
 
If you have abandoned one faith, do not abandon all faith. There is always an alternative to the faith we lose. Or is it the same faith under another name?
 
If you have abandoned one faith, do not abandon all faith. There is always an alternative to the faith we lose. Or is it the same faith under another name?
Tumaini langu ni lipi sasa na huyu dada kaning'ang'ania kama kupe!
 
Back
Top Bottom