Kwani we ukitumia vitz unakuwaje? si mpenzi wako na unamwahidi dairly unampenda muachie.
nami nakupenda piamiss chagga ndo mana nakupenda safi sana
nami nakupenda pia
Hapana, wala sikurudia kwa sababu hiyo.
Kurudia kwangu huko ni kuzingua tu.
Hivyo umekosea kabisa kudhani nimerudia ili kuonyesha msisitizo.
Kusadiki mambo siyo vizuri. Ni heri ukauliza kwanza.
mpe scania