kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,460
- 4,166
Kila nikitoka home nikirudi,huyu mke wa mpangaji mwenzangu ananiomba zawadi.
Nikasema ngoja nimtege kidogo,jioni hii nimepita duka flani la nguo za kike nikanunua chupi za kike kama 3 hivi ,nimefika tu home naingia getini nashangaa mtu ananiulizia zawadi zake,nimetoa mfuko nikampa
Nikamwambia akazifungulie ndani.hapa kanitext kaniambia anashukuru kwa zawadi amezipenda.