Jiulize kwanza wewe pia umetoka mara ngapi kabla ya kufanya uamuzi, coz ni mwanamke yeye ndio anabeba
msamehe mwanze upya japo ni ngumu sana
Kuendelea kuwaza hivyo afu unamsikia anakoroma sentimita chache kutoka ulipo lala ni kukutafutia kesi ya mauaji ni bora nijiepusha kwa kumuacha na hiyo mimba yake kwa amani mbona wanawake wengi mjini kwanini nihangaike na huyu asiyejali hisia zangu, kucheat kacheat na kidhibiti kaniachia nikione...no way wacha Mungu akamsamehe mie naendelea na maisha yangu..
Hebu tuchukulie kwamba umekwenda kusoma nje ya nchi, au umekwenda mbali sana na nyumbani kwako kikazi. Umekaa huko kwa miaka miwili . unaporudi, unakuta mkeo ni mjamzito! Hebu niambie ungefanya kitu gani?
Hebu tuchukulie kwamba umekwenda kusoma nje ya nchi, au umekwenda mbali sana na nyumbani kwako kikazi. Umekaa huko kwa miaka miwili . unaporudi, unakuta mkeo ni mjamzito! Hebu niambie ungefanya kitu gani?[/QUO]
Technical error:
usimwache mwenzi wako mbali nawe.....kumbuka ADAM alimwacha Hawa kwa madakika tu kule EDEN........XXXXXX
Kuanzia katikati siyo sababu..............Naomba ujenge mazingira ambayo wewe unadhani mke aliyekutwa na mimba anapaswa kusamehewa............
Hii thread bado inanidhihirishia ule usemi wa mwanamke mwake ni jikoni!
Wanawake wenzangu jamani cheating hatukuumbiwa sisi! Na dhambi ya kucheat iliumbiwa kwa ajili ya kutuhukumu sisi tu na si wanaume jamani!
Akicheat mwanaume ni sawa na tena hata akikuletea mtoto wa nje aliyezaliwa ndani ya ndoa yenu ni sawa kabisa na watu watakushangaa sana ukidai/toa talaka kwa kosa hilo!
Ama kweli si dhambi zote zilizosawa kama tunavyoambiwa. So sad
<br />Kwa miaka miwili kweli ni balaaa, hata mie nsingeweza vumilia, sema kakosea kubeba mimba tuu, japo sisi wanaume hata mwezi 1 tu mtu amcheat mkewe Laivu..