Nimemkuta yu mjamzito!

Hilo nalo neno.kwa wan aume kuwa na wake wawili ni sawa kabisa hata zaidi lakini mwana mke kuwa na waume wawili ni umalaya na jamii wala haiwezi kumtambua mwanamk e kama huyo.unatolea wapi changamoto zako!
 
Jiulize kwanza wewe pia umetoka mara ngapi kabla ya kufanya uamuzi, coz ni mwanamke yeye ndio anabeba
msamehe mwanze upya japo ni ngumu sana
 
Kuendelea kuwaza hivyo afu unamsikia anakoroma sentimita chache kutoka ulipo lala ni kukutafutia kesi ya mauaji ni bora nijiepusha kwa kumuacha na hiyo mimba yake kwa amani mbona wanawake wengi mjini kwanini nihangaike na huyu asiyejali hisia zangu, kucheat kacheat na kidhibiti kaniachia nikione...no way wacha Mungu akamsamehe mie naendelea na maisha yangu..

You and I are kindred souls!
 
Hii thread bado inanidhihirishia ule usemi wa mwanamke mwake ni jikoni! Wanawake wenzangu jamani cheating hatukuumbiwa sisi! Na dhambi ya kucheat iliumbiwa kwa ajili ya kutuhukumu sisi tu na si wanaume jamani! Akicheat mwanaume ni sawa na tena hata akikuletea mtoto wa nje aliyezaliwa ndani ya ndoa yenu ni sawa kabisa na watu watakushangaa sana ukidai/toa talaka kwa kosa hilo!

Ama kweli si dhambi zote zilizosawa kama tunavyoambiwa. So sad
 
Hebu tuchukulie kwamba umekwenda kusoma nje ya nchi, au umekwenda mbali sana na nyumbani kwako kikazi. Umekaa huko kwa miaka miwili . unaporudi, unakuta mkeo ni mjamzito! Hebu niambie ungefanya kitu gani?

Ngoja niende nirudi nikute mjamzito ndo nitajua nifanye nini.
 
Hebu tuchukulie kwamba umekwenda kusoma nje ya nchi, au umekwenda mbali sana na nyumbani kwako kikazi. Umekaa huko kwa miaka miwili . unaporudi, unakuta mkeo ni mjamzito! Hebu niambie ungefanya kitu gani?[/QUO]
Technical error:
usimwache mwenzi wako mbali nawe.....kumbuka ADAM alimwacha Hawa kwa madakika tu kule EDEN........XXXXXX
 
Kuanzia katikati siyo sababu..............Naomba ujenge mazingira ambayo wewe unadhani mke aliyekutwa na mimba anapaswa kusamehewa............
  • Hali ya uhusiano kabla ya safari yako. Ndugu na jamaa wa pande zote za mke na mume kama wanawatambua
  • Muda wa uhusiano wenu, na milima mabonde ,mafanikio na matatizo mliyopitia wote
  • Kama tayari mna watoto au mtoto...
  • Kama na mm kama mume nimeacha mtoto huko nilipokuwa teh teh teh
  • Kama mume najiona niikuwa chanzo cha communication breakdown kwa kipindi kirefu
  • Kama mke anaonekana kujuta makosa ana ananyesha nia ya dhati ya kutaka tuendeleee kuwa wote kama mume na mke( Sio sbabu ya fedhabaut sabu kubwa niidhike ni mapenzi)
  • Status( Kielimu, kiajira, kimahusiano, etc) ya huyo aliyempa mimba
Hayo ni machache
 
Mimi naona nitamwambia aende kwa mwenye mimba ndo msamaha wangu kwake.Maana mwenye mimba anamjua yeye kwa hiyo aende huko waikaelee pamoja.
 
Hii thread bado inanidhihirishia ule usemi wa mwanamke mwake ni jikoni!

Hapana MwanajamiiOne. Mimi sidhani kama inadhihirisha hivyo.

Wanawake wenzangu jamani cheating hatukuumbiwa sisi! Na dhambi ya kucheat iliumbiwa kwa ajili ya kutuhukumu sisi tu na si wanaume jamani!

Hii nayo sikubaliani nayo. Uzinifu hufanywa na jinsia zote.

Akicheat mwanaume ni sawa na tena hata akikuletea mtoto wa nje aliyezaliwa ndani ya ndoa yenu ni sawa kabisa na watu watakushangaa sana ukidai/toa talaka kwa kosa hilo!

Si sawa hata kidogo. Ila kama mumeo anazini nje na kumjaza mwanamke mwingine mimba na wewe ukamsamehe basi hilo ni juu yako. Mimi sitamshangaa mwanamke aliyechitiwa kumtaliki mumewe kwa sababu hiyo. Kwanza nitamuunga mkono kama akiamua kufanya hivyo.

Ama kweli si dhambi zote zilizosawa kama tunavyoambiwa. So sad

Najua kuna double standards mbaya sana kwenye mahusiano lakini pia ni nyinyi wahusika wa huo upande wa pili ndiyo mnashiriki kikamilifu kuziendeleza.

Why don't you have a one strike rule when it comes to licentiousness? Does it mean you don't have the courage of your convictions to follow through whatever principles you stand for or what is it exactly?
 
Hii thread inanikumbusha igizo moja la kihindi. Jamaa katoka majuu alikokaa kwa miaka mingi na kumwamcha mke wake nyumbani kwao. Aliporudi alilakiwa na mkewe uwanja wa ndege huku akiwa na mtoto wa miaka 4. Mke alipoulizwa mtoto wa nani alikajibu: ni wa kwako! Alipomuuliza, ningewezaje kukupa mimba nikiwa mbali na wewe? Jibu: nilikuwa ninalala na picha yako uliyoniachia! Wakiwa mbele ya wazee waliokusanyika kususuhisha kesi hiyo, mme aliuliza, angewezaje kuzaa na picha yangu wajati imeanzia KWENYE KITOVU KWENDA JUU??? Sijui hatima ya hiyo ndoa ilikuwa nini kwani Ngeleja alikata umeme nikaishia hapo.
 
Kwa miaka miwili kweli ni balaaa, hata mie nsingeweza vumilia, sema kakosea kubeba mimba tuu, japo sisi wanaume hata mwezi 1 tu mtu amcheat mkewe Laivu..
<br />
<br />
Kuna kisa kama hiki kilimtokea rafiki yangu,mumewe alipata nyumba ndogo akawa anacheat live kabisa bila siri,yule mume akaamua kukihama chumba bila sababu mdada wa watu kavumili a likini baada ya miaka miwili yakamshinda nae akaanzisha mahusiano na mwanaume mwingine mume wake alipogundua aliwaita wanandugu ili amwache mkewe,lakini mkewe akajitetea kuwa hajalala nami miaka miwili je ningefanyaje?Ndugu wote walimtetea mwanamke kwani kama mume angetimiza wajibu wake haya yasingetokea.
 
Piga chini fasta, hapana kujiuliza uliza hapo,usiwe mgumu kuelewa kuwa anampenda mwingine zaidi yako,Ukimsamehe ili iweje?? mtaishije???
 
Jaman kumegwa amegwe ila nisijue but mpaka mimba!!! how can u forgive wakati katumbo kanaoenekana na mtoto atazaliwa? na kibaya zaidi baba yake atakuja kumwona mwanae kama sio kudai kabisa!!! plz plz plz one woman two husband haiwezekani kamwe!!!
 
Back
Top Bottom