Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,189
<br />Haijalishi...kuchiti mara moja au mara nyingi bado ni kuchiti tu. Kibaya zaidi ni mtu anachiti bila kutumia kinga. Hapo anajihatarishia maisha yake mwenyewe na pia ya huyo anayemchiti. <br />
<br />
Hebu fikiri mumeo anakuletea likaswende au li chlamydia. Wewe mtoto wa watu hujui hili wala lile siku unaenda kuoga unaona usaa unatoka kwenye kitumbua chako....lol....hivi utajisikiaje?
<br />
haya, na nyie msichiti hadi mnazaa huko nje. Isiwe mkuki kwa nguruwe.