Nimemkuta na tattoo

Nimemkuta na tattoo

Habari wana JF,

Huyu ni Msichana niliemuhangaikia muda mrefu sana kwa dhumuni aje kuwa wife. Akaja nielewa akawa anafika home kama kawaida story moja mbili tatu namsindikiza kwao huku pasipo hata mtekenya japo toto Mashallah chuchu "M"

Nyuma kajaaliwa aisee ila nikawa najipa moyo huyu ni wangu tu hakuna haraka.

Kilichonifanya nije hapa Jf Wandugu ni hapa niko nae sahii yupo chakali tayari ila kilichonistua huyu msichana ana tattoo katika kalio moja ya Nyota nyota Tano.

Kutokana na muonekano wake,mienendo yake na life style ya kwao full church na hiki nilichokikuta hapa naomba msaada wandugu wale wajuzi kwa lolote juu ya hizi tattoo katika tako na malengo niliyotanguliza hapo mwanzo ya kuwa nilimfuata awe wife.

Nimemuuliza ilikuwaje hivi ananijibu anapenda tu.

Swali dogo.ulikuwa unatafuta nini huko nyuma mpaka ukaona hiyo tatoo ukahesabu na tatoo kwamba ziko tano.maana umeanza kumsifia kwamba amejariwa.

Huyo naye anakushangaa wewe alikuwa hakutegemei pia
 
Kama umeridhika na Tabia endelea nae ujue vitu vingine vinakujaga km hulka tu usimuhukumu moja kwa moja

aah mkuu, angeridhika na tabia angeleta uzi wenye sifa nzuri tu kwa mpenzi wake. Kwani kuchora tatoo sio tabia?
 
Bwana hakuna ushauri wa maana utaupata hapa. Mimi binafsi naona utumie busara zako ulizopewa na muumba wako. Kama kaweka tu tattoo na unaona ni mwenye tabia nzuri wewe ndiye mjuaji. Kama amesema hajachepuka na mkweli siku zote wewe ndiye muamuaji. Ukisikia ya watu watakuchanganya
kuchora tatoo pia ni tabia. Jamaa yetu ameleta hapa tujadili kuwa ni tabia nzuri au mbaya, bila shaka haya ndiyo maudhui ya uzi huu, .ametumia tu lugha ya picha (katika tukio la kweli) kwa ajili ya kuupamba uzi.
 
Najitahidi leo nilete picha ake hapa iwe bora zaid wandgu
 
Japo me and my girl hatuna tattoo wala wazo la kua nayo still bado sioni tatizo kama mtu kaamua kuiweka unajua sasa hivi ndio fashooon world wide sasa wengine huchora kwa kuiga na wengine huchora kwa maana zao, sidhani kama ni busara kujadili hilo, wewe muulize huyo GF sababu iliyomfanya akaichora na kwann achague nyota na sio kitu kingine, pia mwambie kua hupendezwi nazo asichore tena, just friendly convos.

BTW, Picha mbona hujaituma wote tukajiridhisha?
lol.
Wewe ni ke Au me?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom