Mbasembase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,057
- 4,608
Yukoje kuna mmoja nilikutana naye anayo kama hiyo na kaniambia ana mchumba.Inanikata mzuka sana akiwa kainama iv
Yukoje kuna mmoja nilikutana naye anayo kama hiyo na kaniambia ana mchumba.Inanikata mzuka sana akiwa kainama iv
Bwana hakuna ushauri wa maana utaupata hapa. Mimi binafsi naona utumie busara zako ulizopewa na muumba wako. Kama kaweka tu tattoo na unaona ni mwenye tabia nzuri wewe ndiye mjuaji. Kama amesema hajachepuka na mkweli siku zote wewe ndiye muamuaji. Ukisikia ya watu watakuchanganyaHuyu n modo kdgo karefu wastan,ananyoa amebarikiwa kimtindo Makalio
Sijaelewa hapo "Japo me and my girl "Japo me and my girl hatuna tattoo wala wazo la kua nayo still bado sioni tatizo kama mtu kaamua kuiweka unajua sasa hivi ndio fashooon world wide sasa wengine huchora kwa kuiga na wengine huchora kwa maana zao, sidhani kama ni busara kujadili hilo, wewe muulize huyo GF sababu iliyomfanya akaichora na kwann achague nyota na sio kitu kingine, pia mwambie kua hupendezwi nazo asichore tena, just friendly convos.
BTW, Picha mbona hujaituma wote tukajiridhisha?
lol.
Duh! Mkuu huyo babu n wawap?Sasa unachora tatuuuu makalioni aione nani? Mimi namjua mbabu mmoja mtaalamu wa tatuu akishamkula demu anamuweka tatuu ya nyota tano katika kalio moja.. Mkiwa maskani ukibisha hajamla anakwbia kama nawe umepita je hana tatuu ya nyota tano kalioni?
Hahaaa...sijui yara yara yara...umenena vyema ChifuPiga chini hiyo takataka!
Kula tani yako halafu itupe kushoto!
Kua na tattoo inaonesha ana very bad sense of judgement na kuna mengine mabovu zaidi ambayo hayana alama!
Oh sijui tattoo haina shida sijui nini sijui yara yara yara....fvck that nonsense!
Jikite kwenye madaSijaelewa hapo "Japo me and my girl "
i am a woman....Kumbe you are a man...nilijuaga tofauti aisee haya majina
Chukua msasa msugue ifutike Kama hupendi ili life liendelee, Kuna issue zingine sio za kuomba ushauri na sasa ni saa nane na dak
Mwenzie kashasema anaipenda tatoo, atatitoa kwani ipo kwenye mwili wake? Udikteta ukianza mapema namna hii, huyo mke amemkosa