Nimemkuta na tattoo

Nimemkuta na tattoo

Ukiona dem kachora tattoo kwenye kalio ujue huyo hpo anaunganisha kifurushi cha tigo-tigo

Ova
 
Japo me and my girl hatuna tattoo wala wazo la kua nayo still bado sioni tatizo kama mtu kaamua kuiweka unajua sasa hivi ndio fashooon world wide sasa wengine huchora kwa kuiga na wengine huchora kwa maana zao, sidhani kama ni busara kujadili hilo, wewe muulize huyo GF sababu iliyomfanya akaichora na kwann achague nyota na sio kitu kingine, pia mwambie kua hupendezwi nazo asichore tena, just friendly convos.

BTW, Picha mbona hujaituma wote tukajiridhisha?
lol.
 
Nimemuuliza kwann Achore tena katika Tako, ananijibu Kapenda tu
 
Hao wanakuwaga na akili zao flani hazieleweki. Leo akikutana na wewe anaenda kuchora moja, kesho akienda sokoni akikutana na mkaka handsome akamsoundisha jibu anachora tatoo, akienda club akakutana na mwanamziki anampenda anachora tatoo. Mwishowe mwili unajaa tatooo. Kama wazazi wako ungeawauliza wakakubalia kuwa hana tatizo basi endelea nae
 
Habari wana JF,

Huyu ni Msichana niliemuhangaikia muda mrefu sana kwa dhumuni aje kuwa wife. Akaja nielewa akawa anafika home kama kawaida story moja mbili tatu namsindikiza kwao huku pasipo hata mtekenya japo toto Mashallah chuchu "M"

Nyuma kajaaliwa aisee ila nikawa najipa moyo huyu ni wangu tu hakuna haraka.

Kilichonifanya nije hapa Jf Wandugu ni hapa niko nae sahii yupo chakali tayari ila kilichonistua huyu msichana ana tattoo katika kalio moja ya Nyota nyota Tano.

Kutokana na muonekano wake,mienendo yake na life style ya kwao full church na hiki nilichokikuta hapa naomba msaada wandugu wale wajuzi kwa lolote juu ya hizi tattoo katika tako na malengo niliyotanguliza hapo mwanzo ya kuwa nilimfuata awe wife.

Nimemuuliza ilikuwaje hivi ananijibu anapenda tu.
Piga chini hiyo takataka!

Kula tani yako halafu itupe kushoto!

Kua na tattoo inaonesha ana very bad sense of judgement na kuna mengine mabovu zaidi ambayo hayana alama!

Oh sijui tattoo haina shida sijui nini sijui yara yara yara....fvck that nonsense!

Nimemuuliza kwann Achore tena katika Tako, ananijibu Kapenda tu
Mbane akueleze vizuri! Yani mtishie kuvunja mahusiano asipoeleza chanzo cha kufanya uchafu huo!

Mimi ningeandika uzi uzi kama wewe wa kutoa tu taarifa kuwa.. "nilimwacha baada ya kukuta tattoo kalioni"

Eti unasema unataka awe mke!!!! Au sijasoma vizuri! Ngoja nirudie kusoma sehemu
 
Piga chini hiyo takataka!

Kula tani yako halafu itupe kushoto!

Kua na tattoo inaonesha ana very bad sense of judgement na kuna mengine mabovu zaidi ambayo hayana alama!

Oh sijui tattoo haina shida sijui nini sijui yara yara yara....fvck that nonsense!

Pamoja kiongoz
 
Walikuwepo na wataendelea kuwepo,
Remember,you are a passenger
 
Habari wana JF,

Huyu ni Msichana niliemuhangaikia muda mrefu sana kwa dhumuni aje kuwa wife. Akaja nielewa akawa anafika home kama kawaida story moja mbili tatu namsindikiza kwao huku pasipo hata mtekenya japo toto Mashallah chuchu "M"

Nyuma kajaaliwa aisee ila nikawa najipa moyo huyu ni wangu tu hakuna haraka.

Kilichonifanya nije hapa Jf Wandugu ni hapa niko nae sahii yupo chakali tayari ila kilichonistua huyu msichana ana tattoo katika kalio moja ya Nyota nyota Tano.

Kutokana na muonekano wake,mienendo yake na life style ya kwao full church na hiki nilichokikuta hapa naomba msaada wandugu wale wajuzi kwa lolote juu ya hizi tattoo katika tako na malengo niliyotanguliza hapo mwanzo ya kuwa nilimfuata awe wife.

Nimemuuliza ilikuwaje hivi ananijibu anapenda tu.
Kuna wakati binadamu tunalazimisha wenzetu wawe malaika!!!!!!!
sisi vip? tuna umalaika huo
 
Habari wana JF,

Huyu ni Msichana niliemuhangaikia muda mrefu sana kwa dhumuni aje kuwa wife. Akaja nielewa akawa anafika home kama kawaida story moja mbili tatu namsindikiza kwao huku pasipo hata mtekenya japo toto Mashallah chuchu "M"

Nyuma kajaaliwa aisee ila nikawa najipa moyo huyu ni wangu tu hakuna haraka.

Kilichonifanya nije hapa Jf Wandugu ni hapa niko nae sahii yupo chakali tayari ila kilichonistua huyu msichana ana tattoo katika kalio moja ya Nyota nyota Tano.

Kutokana na muonekano wake,mienendo yake na life style ya kwao full church na hiki nilichokikuta hapa naomba msaada wandugu wale wajuzi kwa lolote juu ya hizi tattoo katika tako na malengo niliyotanguliza hapo mwanzo ya kuwa nilimfuata awe wife.

Nimemuuliza ilikuwaje hivi ananijibu anapenda tu.
Mkuu huenda alizaliwa nayo
by ze way hiyo siyo issue saana km unaona hajafiti kwenye sifa zako basi piga chini.
Siyo lazima umuoe yeye na tatizo jingine inaonekana unampenda sana na ameteka hisia zako sizan hata ushauri wa hapa jamvini kama utaufanyia kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom