Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,561
- 21,511
Kwani wasio kuwa na tatoo ulifika nao wapi ?
Inanikata mzuka sana akiwa kainama ivWengine wanachorwa na wapenzi wao , ili wasichepuke.
Bahati mbaya mpenzi mwenyewe anakuja kuachana naye.
Kuna lijinga liliniambia kama nalipenda nichore jina lake, nashukuru Mungu maana hata mwaka haukuisha nikaachana naye. Sasa najiuliza VIPI KAMA NINGEKUBALI ,Leo kila ningekutana na mtu angeniona ni Malaya.
BTW Malaya ni Malaya tuu, awe na tatoo asiwe na tatoo.
Kumbe you are a man...nilijuaga tofauti aisee haya majinaJapo me and my girl hatuna tattoo wala wazo la kua nayo still bado sioni tatizo kama mtu kaamua kuiweka unajua sasa hivi ndio fashooon world wide sasa wengine huchora kwa kuiga na wengine huchora kwa maana zao, sidhani kama ni busara kujadili hilo, wewe muulize huyo GF sababu iliyomfanya akaichora na kwann achague nyota na sio kitu kingine, pia mwambie kua hupendezwi nazo asichore tena, just friendly convos.
BTW, Picha mbona hujaituma wote tukajiridhisha?
lol.
Wapi hiyo ndugu?Tanzania ya watanzania kwani Tatoo ndio nini?kwani kuwa nayo tatizo ni nini?listen my brother kama umempenda na umeona ni wife material oa,tattoo haina maana kuwa malezi yake yalikuwa sio ,na kuweka tattoo ni kitu cha kawaida kabisa kwa ke na me!!!,loo sometimes ninashindwa kujua why mtu unajiuliza kuhusu kuoa au kutooa kisa TATOO.Njoo kwetu huku Lingusenguse kuna watoto wazuri wenye tabia za A1 NA WANATATOO na maisha yanaendelea.