Nimemkuta na tattoo

Nimemkuta na tattoo

Habari wana JF,

Huyu ni Msichana niliemuhangaikia muda mrefu sana kwa dhumuni aje kuwa wife. Akaja nielewa akawa anafika home kama kawaida story moja mbili tatu namsindikiza kwao huku pasipo hata mtekenya japo toto Mashallah chuchu "M"

Nyuma kajaaliwa aisee ila nikawa najipa moyo huyu ni wangu tu hakuna haraka.

Kilichonifanya nije hapa Jf Wandugu ni hapa niko nae sahii yupo chakali tayari ila kilichonistua huyu msichana ana tattoo katika kalio moja ya Nyota nyota Tano.

Kutokana na muonekano wake,mienendo yake na life style ya kwao full church na hiki nilichokikuta hapa naomba msaada wandugu wale wajuzi kwa lolote juu ya hizi tattoo katika tako na malengo niliyotanguliza hapo mwanzo ya kuwa nilimfuata awe wife.

Nimemuuliza ilikuwaje hivi ananijibu anapenda tu.
Tumia Condom
 
Japo me and my girl hatuna tattoo wala wazo la kua nayo still bado sioni tatizo kama mtu kaamua kuiweka unajua sasa hivi ndio fashooon world wide sasa wengine huchora kwa kuiga na wengine huchora kwa maana zao, sidhani kama ni busara kujadili hilo, wewe muulize huyo GF sababu iliyomfanya akaichora na kwann achague nyota na sio kitu kingine, pia mwambie kua hupendezwi nazo asichore tena, just friendly convos.

BTW, Picha mbona hujaituma wote tukajiridhisha?
lol.
Kumbe wewe ni ME? JF ni kichaka kumbe
 
Fashooon zinawaharibu
 
Sio sababu ya msingi hiyo. Tattoo ni urembo. Kuhusu kuchorwa ktk tako pia si hoja ya msing kwa sasa; Kwani umemkuta nayo. Angechorwa wakati upo nae na hajakushirikisha ni hoja ya msingi.

Ni wazi wewe si mpz wa kwanza Kwake. Jitahd kukua sasa Kwani una mpango wa kulea familia, Lazima uwe smart ktk maamuzi.

Wapo wasio na tattoo ni Malaya wa kutupwa. Na shem yetu anazo akawa ni wife material. Bado unao muda wa kutosha kumchunguza Kiwanis.

NB: Yapo ya maana kumchunguza si kujua alichorwa lin? Na nani?
 
Kwann umehisi ni Me?
Nimekukumbuka wewe ni yule dada wa kudonate sperm na KE mwenzio kisha muwe na mtoto.

Wakati kiuhalisia mtoto ni wa njemba ilotoa sperm na aliyebeba mimba.

Dunia ina mengi sana ya ajabu....all ni kutekeleza fantasies.
 
Well said kibuyu180 , wapo wengi ambao hawajachora tattoo lkn Malaya wa kutupwa
Sio sababu ya msingi hiyo. Tattoo ni urembo. Kuhusu kuchorwa ktk tako pia si hoja ya msing kwa sasa; Kwani umemkuta nayo. Angechorwa wakati upo nae na hajakushirikisha ni hoja ya msingi.

Ni wazi wewe si mpz wa kwanza Kwake. Jitahd kukua sasa Kwani una mpango wa kulea familia, Lazima uwe smart ktk maamuzi.

Wapo wasio na tattoo ni Malaya wa kutupwa. Na shem yetu anazo akawa ni wife material. Bado unao muda wa kutosha kumchunguza Kiwanis.

NB: Yapo ya maana kumchunguza si kujua alichorwa lin? Na nani?
 
Muongezee na tatto la jina lako ili ukimuacha atakae mpata nae ajiulize ivo
 
Namjua Uyo na Tigo anatoa kwao watu wa dini sana kaka yake moja amemaliza Chuo mzumb
 
Huyo siyo mke bora nijuavyo tattoo ni ishara ya kuwa na myelekeo ya uhuni
 
Wakuu nimerudi Tena hapa! Siku ya kwanza naleta huu uzi hapa ndipo ilikua mara ya kwanza kukutana na huyu Msichana kutokea amemaliza Hedhi leo ananipigia Cm anadai Anaujauzito Wangu. Wakuu n sahihi ili?
 
Kama umemkuta nayo hakuna namna endelea kumpenda nayo......
 
Najibiwa n mbabu mmoja ivi ndio kaz yake Over.
Umejibiwa hivyo bado unataka na sisi tukupe jibu gani mbona vijana wa kileo mmekuwa mbumbumbu kiasi hicho.
Kwa akili yako hiyo lazima ubaki masikini milele huna maamuzi magumu kabisa.
 
Wakuu nimerudi Tena hapa! Siku ya kwanza naleta huu uzi hapa ndipo ilikua mara ya kwanza kukutana na huyu Msichana kutokea amemaliza Hedhi leo ananipigia Cm anadai Anaujauzito Wangu. Wakuu n sahihi ili?
Oohoo...Hukutumia kondom???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom