Nimemiss kucheza muziki

hebu wadada hebu fungukeni...ni kweli kwamba hamuonagi baridi na haya mavazi yenu yanayoonesha robo uchi?
 
Mbona nyie mnavaa masarawili na masuti na kuna joto kama jehanam. Hamuoni majotroo? Mutuwacheee
hebu wadada hebu fungukeni...ni kweli kwamba hamuonagi baridi na haya mavazi yenu yanayoonesha robo uchi?
 
Na zile kata K zao je. pichu yote nje na show ya mfereji wa kotama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…