Ramtz Jr
JF-Expert Member
- Jun 18, 2026
- 259
- 499
Wakuu nimemiss hadithi balaa tangu sijajiunga JF nilikua nasoma hadithi nyingi ila sasa sioni hadithi hebu wakuu tafadhalini sana niwekee link uzi wa hadithi yoyo iwe ya kijasusi au ya mapenzi kutisha n.k niwekeeni nisome iwe mpya au ya zamani
No kejeli
No kejeli