Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,138
Mpenzi hafumaniwi alikua anaongeza ujuzi aje akunogeshee
Miss you!
Mpenzi hafumaniwi alikua anaongeza ujuzi aje akunogeshee
He! hii ni hadithi au...?
yani unamfumania thena unamsalimia kisha unakimbia nyumbani ili uipost
JF....! Kweli wewe hamnazo....!
Haya bwana!mpenzi wangu ni nesi, aliniaga anakwenda semina ya kikazi, tangu juzi jana nikapigiwa simu na jamaa kuwa mpenz wang kaonekana nyumba flani ambapo wanaishi watu mbalimbali, na jamaa alinijuza kuwa alikuwa anagegedwa na alikuwa anapiga yowe hadi kero kwa majirani,
nilimuliza mpenz wang akakataa katu na kuapa kwa mungu na kunikaripia vikali kwa kusikiliza maneno ya watu. nilidhan n ukweli jins alivyokuwa siriaz kujitetea na kulia kwa uchungu.
leo jamaa kaniita kanambia njoo shuhudia mwenyewe nmeenda nikabana geto kwa mskaji huku nikisikilizia milio ya mahaba kutoka chumba jiran kwa kuwa nyumba haina silng body. gafla mlango wa kile chumba ulifunguliwa na wakatoka nje kuelekea msalani.. na mimi nikatoka nikasimama mlangon waliporudi alistuka then nikawasalimia then nikaondoka..
nmekuja mbio had nyumban natetemeka mwili mzima sijui cha kufanya. jamaa alieko nae simfaham ila nmemchek namweza kabisa. mpenz wang ana ujauzito wa miez 2 wa kwang. NISHAURINI TAFADHALI
Eti ......mimba ni kwangu......... lione
ni nani kakuambia kuwa ni ya kwako?
Alikuwa anasema maneno gani hayo ya kimahaba
najua utakuwa umeyakariri tu.
Mpenzi wangu ana ujauzito wa mieiz 2 wa kwangu.
ujauzito miezi miwili unadai ni wako wakati hayuko kwako.....hata hivyo pole.
Lakini nikupe pongezi...Mimi na manesi ni mbali mbali tangu siku moja usiku miaka ya nyuma nilipokwenda hosp moja kubwa mji wa makao makuu ya bunge na ccm, nikakuta nesi na dr wamelazana kwenye meza...niliapa kutoshawishika kuoa nesi let alone kutongoza.
Licha ya lugha ya kifacebook uliyotumia hii story haina chembe ya ukweli ! Kiuhalisia usingekuwa na nguvu ya kusimulia kwasasa
Tuta amini vipi kama habari hii ni ya kweli?Kwa ilivyo MMU siku hizi ni.ngumu kuamini habari hapa!
Hawa waongo wametuvuruga sana humu lol
fijo kikolo ntunguru undumyana uju. Ikutusyobha twe bhakusi fijo bunobhuno. Alinamatingo fijo unjanga uju
Mkeo au mnafanya zinaa tu?
Kama ni mkeo mpe talaka.
Kama mnafanya zinaa tu, jiulize wewe ulimpataje wenzako washindwe.
Halafu kapime ukimwi.
una uhakika iyo mimba aliyonayo ni ya kwako???
labda alipiga picha..
tuliza moyo kabisa
huyo jamaa humjui ..hata kama unamuweza so what?
what if mpenzi wako alisema yuko single?
wewe tuliza moyo kwanza....kunywa maji jipe muda utajua cha kufanya.....kwa sasa ondoka hapo nyumbani nenda katafute time ya kufikiri utajua tu..... kupigana baaaada ya kumfumania mpenzi ni kujidhalilisha zaidi....