Nimemfumania mpenzi wangu naomba ushauri

Nimemfumania mpenzi wangu naomba ushauri

Pole ila tambua ww hapo unachako tulia na kutafakari mbna hao viumbe wako wng .....
 
Duh! Pole, hauna haja ya kupigana na huyo mwanaume kama unavyodai unamuweza. Wanaume huwa hatupigani kama wanawake. Dili na mwanamke, yaani zungumza nae, kulikoni na kwa nini ulipomuuliza mara ya kwanza akakataa kata kata. Lazima uwe na kibezi, la sivyo atakukaripia tena. Una uhakika wewe ndo umempa ujauzito?
 
Wanawake wa cku hiz ni pasua kichwa sna,kama mama zetu wangekuwa hiv dunia isingekuwa hiv tunavyoina leo,hebu jaribuni kuhandle tamaa zenu basi il mjijengee heshima.
 
Mpenzi wangu ni nesi,
aliniaga anakwenda semina ya kikazi, tangu juzi jana nikapigiwa simu na
jamaa kuwa mpenzi wangu kaonekana nyumba flani ambapo wanaishi watu
mbalimbali, na jamaa alinijuza kuwa alikua akinisaliti.

Nilimuliza mpenzi wangu akakataa katu na kuapa kwa mungu na
kunikaripia vikali kwa kusikiliza maneno ya watu. nilidhani ni ukweli
jinsi alivyokuwa serious kujitetea na kulia kwa uchungu.

Leo jamaa kaniita kanambia njoo shuhudia mwenyewe, nimeenda nikakaa
nyumbani kwa jamaa huku nikisikilizia sauti zilizokuwa zinatoka chumba
jirani kwa kuwa nyumba haina sing body.

Gafla mlango wa kile chumba ulifunguliwa na wakatoka nje kuelekea
msalani, na mimi nikatoka nikasimama mlangoni waliporudi alistuka na
sikufanya lolote.

Nimekuja mbio hadi nyumbani natetemeka mwili mzima sijui cha kufanya.
Jamaa aliye nae simfahamu ila nimeona namweza kabisa. Mpenzi wangu ana
ujauzito wa mieiz 2 wa kwangu.

NISHAURINI TAFADHALI

dalili ya mvua...........sepa. ila choo ya nje noma
 
Mwache jamaa aongeze masikio ndo mtoto apatikane any way natania.

USHAURI: Kama bado hamjafunga ndoa basi mungu akuepushe mbali na hilo janga maana bado hujajua akiwa kwenye zamu ya usiku huyo anaweza kuliwa mpaka na wagonjwa anaowahudumia achilia mbali madaktari kwao ni kawaida
 
Back
Top Bottom