Nimemfuma mtoto wa mke wangu akinichungulia

Kwa fasta fasta inaonesha wewe unalelewa na huyo mama Wa huyo binti sasa wewe kama unataka kufukuzwa wewe Fanya nae mpenzi huyo mtoto uone kama ujafukuzwa hapo unapolelewa na maisha Kwako yatakua magumu sana pindi akigundua mama yake unatembea nae mtoto wake
 
Mtoto anataka kukufukuzusha kwa mama yake, hana furaha kukuona ukinyememelwa urithi walioachiwa na baba yao "wanamaindi kukuona wewe ukilelewa kama wao wanavyolelewa na mama yao,,, anakuwekea mitego unase wapate sababu za ww kutuliwa apo.
 
Umenikumbusha wafanyavyo jamaa wengi huko majuu, una move in kwa mwanamke, siku akikuchoka anakutimua na begi lako. Naona hii trend inahamia kwetu taratibu.

Hayo ya huyo mtoto tumia kichwa cha juu, acha tamaa ya ngono, tayari unamla mama yake, unaishi kwake...usimle mtoto wake, utamuumiza sana kisaikolojia. Lakini pia jiandae kutimuliwa.
Umenikumbusha wimbo wa lady jay dee ule wa ndi3.!!! Mwisho wa ule wimbo mwanaume anaondoka na box lake hahaaaaaaaa
 
Eti ana mzigo kwa nyuma hahahaaaaaa.....kwani huyo mtoto ana nn cha ziada ambacho unakikosa kwa mama yake?? Acha tamaa Mjomba, aibu yako itakuwa kubwa kuliko aibu uliyoipata ck binti alikuchungulia
 
Tatizo mama ake nawe ni mama ako mdogo. Kwahiyo akilini mwake anaona yeye ndo size yako sio mama ake. Na ndo ukweli. Huna cha kushangaa najua utamtafuna tu.
 
Back
Top Bottom