Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Whaoooo! Muulize kama na yeye ana uwezo wa kukufuga kama mama yake anavyokufuga.
Kama hana mwambie akasome kwa bidii ndio awe na uwezo kwa kufuga 'marijali' kama wewe. Hakika wewe 'sio mtu wa mchezo mchezo'