Nimemfuma mtoto wa mke wangu akinichungulia

Mmh ...ama kweli unajiweza hahahaha...majibu unayo ila basi tu umetaka kushare na sisi hiyo harakati yako
 
Wadau nawasalimu,

Mimi na mwanamke wangu tunaishi katika ule utaratibu unaoitwa na wataalam wa mahusiano ""come we stay"" yaani tumekubaliana kuishi pamoja bila ndoa, yeye amenizidi miaka kadhaa, na ni mimi ndie nilie move in nyumbani kwake, ana watoto wawili aliozaa kabla, wa kwanza kabisa ni wa kike na yupo form five anasoma day school, halafu yule wa mwisho yupo standard six, pia yupo day school.

Sasa juzi nilikua chumbani kwetu naoga, wakati naendelea kuoga nikahisi kama kuna mtu ananichungulia, kweli nilipoangalia kwenye dirisha dogo juu nakutana na yule mtoto wa form five wa wife, akashuka haraka haraka, akatoka kabisa nje ya geti, nikaenda kwa nyuma nikakuta alikua ameweka stuli pale kwenye dirisha dogo la bafuni.

Nilishangaa sana, ndio maana tukibaki wawili anavaa viguo mapaja yote yanakua nje, khanga moja, pamoja na kuniangalia hadi katikati ya mboni,
sioni hata akiona aibu tangu tukio hilo yupo kawaida tu, halafu mbaya zaidi mimi pia nimeanza kuchanganyikiwa na huyu binti, ana nyonyo zimechongoka kama embe bolibo, kitoto kina mzigo nyuma, halafu kiuno ni kidogo mno, sijawahi kuwa na matamanio nae huko nyuma niliweka heshima sana lakini sasa baada ya kumfuma akinichungulia naona shetani ananielekeza upande huo huo.

Sijui hata nifanyeje..

Au nimwambie mama yake kuhusu tukio lile?
Jambo la kufanya ni moja tu, tangulia segerea kwa kuwa utafungwa tu. Mtu gani usiyekuwa na lepe la heshima?
 
Kuna mtu amewahi kuniambia wanaume waliohamia kwa wanawake wanakuwa na vurugu sana.
We unainaje hili.
 
Kwa Maelezo yako,"ushazini " nae

Ulicho kifanya hapa ni kutangazia dunia. Kila la heri bwana
 
Hadithi nzuri hii inanikumbusha kipindi kile cha zamani cha short stories za Hammie Rajabu!
 
Huenda alikutambulisha kama house boy kwa wanae, sasa anashangaa mpaka umeruhusiwa kuingia bafuni. Kwa kuwa wew ni rika lake si ajabu sana kustaajabu maumbile yako.
 
Back
Top Bottom