Nimemfuma msichana wangu na mwalimu wa chuo

Nipo na huyu msichana wangu kwa miaka mitatu sasa tukiwa na maisha ya furaha na amani sana. Lakini hafla namuona ameanza kubadilika kitabia na maneno ya kiuongo uongo kila siku zikenda. Mimi na yeye hatufichani mambo yetu simu, email fungua za mjengo wangu pia anazo ila yeye anakaa kwao bado.

Kuona mabadiliko yamekuwa mengi ndio nikaanza kujiuliza kulikoni kwa huyu mwenzangu mpaka amebadilika hivi? Manake hata simu yake sikuhizi hataki iguswe. Na ikitokezea kuiguza huruka kama paka vile, nikaona acha niongee na shoga yake wa karibu. Huyu shoga yake ndio akanipa filamu yote kuwa kuna huyu mwalimu wa chuo anamsumbua sana kwa muda mrefu na amefikia kumpa kazi ngumu na kujaribu kumfelisha baadhi ya matokeo.

Huyu mwalimu amemuanza kumtaka zamani sana tu na alikuwa na msimamo wa kumkataa sasa kuona anacheza na kumharibia kwenye masomo yake. Ameanza kulegeza kamba juzi tulipanga weekend hii kutoka kwenda samaki samaki na movie alikubali jana amenitumia sms amesema hatoweza kuja.

Sijataka kumuuliza kwanini kwasababu hii sio kawaida yake ndio nikamtext best wake akaniambia kuwa amepanga na mwalimu wa chuo watoke na akanitajia wanapokwenda. Kwa kweli iliniuma sana kusikia vile lakini nikasema acha nihakikishe kama kweli, nikawapigia washkaji zangu simu na mjomba wangu huyu anakaa mitaa ya Temeke.

Kufika siku ya jana ndio tukaanza safari mimi, mjomba wangu na rafiki zangu watatu sote tukiwa 5 tukafika beach flani. Tukashuka na kuanza kumuangaza huku na huko baada ya kama dakika 15 tukamuona amekaa pembeni yeye na huyu mwalimu wa chuo, wao hawajatuona wamekaa wakiongea.

Rafiki yangu mmoja akasema twendeni palepale walipo na kumuuliza msichana wangu anafanya nini pale? Mjomba wangu akasema hapana tuzungukeni halafu tupite mbele yake na tuwasalimie tu.

Tukafanya kama alivyosema huyu mjomba wangu kuwafikia karibu huyu msichana wangu alituona na kunyanyuka na kunifata, Hawa washkaji zangu wakamfata yule mwalimu na kuanza kumshambulia huku mmoja wao akisema lete kilainishi tumgegede huyu ngese si anajifanya kidume yeye.

Tulimuacha yule mwalimu pale beach na majeraha na kuondoka na msichana wangu nikampeleka mpaka kwao. Sasa huyu msichana wangu ndio anafunguka na kunipa mwanzo mpaka mwisho tulipo wakuta kama hajafanya nae kitu. Na shoga wake amesibitisha kuwa kweli hajafanya kitu na huyo mwalimu bado na siku hio ilikuwa ndio mara yao ya mwanzo kutoka.

Demu wangu tokea jana mpaka sasahivi ananitumia sms za kuniomba radhi nimsamehe, lakini mimi nimemjibu text yangu fupi tu. Nakutakia mafanikio mema na maisha mema. Jee kaka zangu na dada zangu wa JF mnanipa ushauri gani juu ya hili jambo?
Kwa akili yako unadhani ulimpata akiwa huru? Hata ujidai namna gani, kama hutajirekebisha ktk utendaji wako na kuongeza kipato, hutatuweza. Ulipo tupo! Hata mimi nimekuwa nikijidai na ananipa udhaifu wako live!
 
Nijirekebishe nini sasa?
 
huyu jamaa anajidai anaomba ushauri wakati ashaamua kuendelea naye?????? kama asingekuwa ameamua kuendelea naye wala asingekuja hapa kutuuliza maana tayari angekuwa ameshaamua kuachana naye.yaani alipomtakia maisha mema alipaswa aachane naye huyo dada. sasa kamtakia maisha mema halafu anataka aeendelee kuwa naye basi angesema kuwa ameamua kujitakia naye maisha mema.

kama unampenda mrudie kama umeamua kuachana naye achana naye....shika hamsini zako naye mpe zake.siyo unampa 30 unakaa na sabini halafu lengo lako aje kudai 20 zake umkamate tena.
 
Jina lako tu mleta uzi mi nashaka nalo

Hafu kuamua vitu kwa upqnde mmoja tuliowengi ntunachuma dhambi

Ukimsikiliza na mlengwa utaona yawezekana wewe ni chanzo
 
Aliyekutuma utuletee Demu lako " poyoyo " Chuoni ni nani? Wenyewe wanatutegeshea sasa tutaacha " kuwabandua? " Halafu labda nikusaidie tu kaa ukijua au fanya utafiti wako utajua kuwa Lecturers wengi hupendelea mno kutongoza Mabinti " mapoyoyo " Chuoni ila wale " vipanga " hawaguswi ng'o. Na hili liwe fundisho kwa wengine ukijua tu kuwa Demu wako au Mkeo ni " kilaza " basi kuwa mvumilivu tu ili apatiwe maarifa kwa njia ya Kibaiolojia.
 
nilisha mgegegeda mara nne, kwa taharifa yako, we unadhani anaweza kukuambia ukweli, kwa taharifa yako huyo dem si anakidoti karibu na ile kitu? kidoti cheusi hivi na ukitaka siku ya kugegedan afurai si huwa anapenda mkiwa faragha ukipepese? ndhani utakuwa umenielewa!
Aahh kumbe ndio wewe alieniambia kama una kibamia. Eti ana kidoti kwani nimesema Jokate
 
Ungekuwa wewe ndo msichana umebanwa na mwalimu wako na ameshaanza kukufelisha masomo na huenda akakufanya kudisco ungefanya nini??
 
Mwalimu anatakiwa amfundishe masomo sio kuchepuka nae.
Huenda Mwl huyo aamue kuyamaliza tu kimya kimya, ila akiamua kuwa papuchi anaikanyaga tena kwa huyo uliye mzaba nae anakula tena vzr tu.

Huwa wana team, SUPP unakamatwa na mwingine siyo somo lake. Utapiga SUPP weeee huchomoki, una Carry weeeee huchomoki baadae demu anajiongeza kimya kimya tu.
Pole yako , huyo hesabu maumivu tu. Huenda hata kesho yake ameliwa na huyo tcha tena!!
 
Mkuu sasahivi nipo nae namtafuna asante kwa ushauri. Kuna rafiki yangu kaniambia NDOO NYINGI HUINGIA KISIMANI LAKINI MMILIKI KISIMA NI MMOJA TU.
 
Je wewe ni msafi? Demu alilegeza sababu ya masomo ila si kwasababu kampenda na kukaa kwake kimya Kwa akili yake ni alikuwa analinda penzi maana ingeleta mzozo tu pasipo yeye kujua kuwa ingeleta madhara baadae. Alafu huyo shosti wake mbona mmmhhh Kama alikuwa rafiki wake wa kweli kwa nini hakumshauri ila kaweza kukwambia wewe kinacho endelea kati ya demu wako na mwalimu. What was her intension as a friend of your girlfriend? Sababu kama ni rafiki wa kweli alipaswa kuongea naye huyo anaye sema ni rafiki yake. Nway at the end we ndo mwenye maamuzi kuwa naye au kushikilia kauli yako ya kumtakia maisha mema .
 
Nipo na huyu msichana wangu kwa miaka mitatu sasa tukiwa na maisha ya furaha na amani sana. Lakini hafla namuona ameanza kubadilika kitabia na maneno ya kiuongo uongo kila siku zikenda. Mimi na yeye hatufichani mambo yetu simu, email fungua za mjengo wangu pia anazo ila yeye anakaa kwao bado.

Kuona mabadiliko yamekuwa mengi ndio nikaanza kujiuliza kulikoni kwa huyu mwenzangu mpaka amebadilika hivi? Manake hata simu yake sikuhizi hataki iguswe. Na ikitokezea kuiguza huruka kama paka vile, nikaona acha niongee na shoga yake wa karibu. Huyu shoga yake ndio akanipa filamu yote kuwa kuna huyu mwalimu wa chuo anamsumbua sana kwa muda mrefu na amefikia kumpa kazi ngumu na kujaribu kumfelisha baadhi ya matokeo.

Huyu mwalimu amemuanza kumtaka zamani sana tu na alikuwa na msimamo wa kumkataa sasa kuona anacheza na kumharibia kwenye masomo yake. Ameanza kulegeza kamba juzi tulipanga weekend hii kutoka kwenda samaki samaki na movie alikubali jana amenitumia sms amesema hatoweza kuja.

Sijataka kumuuliza kwanini kwasababu hii sio kawaida yake ndio nikamtext best wake akaniambia kuwa amepanga na mwalimu wa chuo watoke na akanitajia wanapokwenda. Kwa kweli iliniuma sana kusikia vile lakini nikasema acha nihakikishe kama kweli, nikawapigia washkaji zangu simu na mjomba wangu huyu anakaa mitaa ya Temeke.

Kufika siku ya jana ndio tukaanza safari mimi, mjomba wangu na rafiki zangu watatu sote tukiwa 5 tukafika beach flani. Tukashuka na kuanza kumuangaza huku na huko baada ya kama dakika 15 tukamuona amekaa pembeni yeye na huyu mwalimu wa chuo, wao hawajatuona wamekaa wakiongea.

Rafiki yangu mmoja akasema twendeni palepale walipo na kumuuliza msichana wangu anafanya nini pale? Mjomba wangu akasema hapana tuzungukeni halafu tupite mbele yake na tuwasalimie tu.

Tukafanya kama alivyosema huyu mjomba wangu kuwafikia karibu huyu msichana wangu alituona na kunyanyuka na kunifata, Hawa washkaji zangu wakamfata yule mwalimu na kuanza kumshambulia huku mmoja wao akisema lete kilainishi tumgegede huyu ngese si anajifanya kidume yeye.

Tulimuacha yule mwalimu pale beach na majeraha na kuondoka na msichana wangu nikampeleka mpaka kwao. Sasa huyu msichana wangu ndio anafunguka na kunipa mwanzo mpaka mwisho tulipo wakuta kama hajafanya nae kitu. Na shoga wake amesibitisha kuwa kweli hajafanya kitu na huyo mwalimu bado na siku hio ilikuwa ndio mara yao ya mwanzo kutoka.

Demu wangu tokea jana mpaka sasahivi ananitumia sms za kuniomba radhi nimsamehe, lakini mimi nimemjibu text yangu fupi tu. Nakutakia mafanikio mema na maisha mema. Jee kaka zangu na dada zangu wa JF mnanipa ushauri gani juu ya hili jambo?
Badili fani na ww uwe mwalimu
 
Back
Top Bottom