Ni sababu ya kulazimishwa Muda mrefu na pia aliona alinde shule yake. Akaamua kujilipua kumbuka rafiki yako alisema kuwa amemkatalia Muda mrefu sana.. Mwalim akaanza kutumia nafasi yake ili amkomoe.. Watoto wa kike wana mitihani iwe wanataka kazi... Promotion nk.. Bint alipaswa akushirikishe ili ujue la kufanya.. Kaaeni mzungunguze ili muyamalize. Ninaamini hata huko aliko mwalimu anajua kuwa huo ni mtego umewekwa na huyo bint.. Iweje siku ya kwanza halafu uwatokee na group... Msamehe hakuna binadamu aliemkamilifu alichonifurahisha ni pale alipokuona akanyanyuka na kukufata... Mwingine angezidisha mbwembwe na dharau ungeumia sana... Msamehe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.