Nimemfuma msichana wangu na mwalimu wa chuo

Nimemfuma msichana wangu na mwalimu wa chuo

Ulimpiga ticha ili iweje wakat ulkuwa unaujua mwisho? Hopeless kabisa
 
Nunua dumu la petrol,liweke chini ya kitanda.mwite demu aje gheto mgegede then funga mlango mjilipue mfe wote..hapo mtakuwa mmemkomoa Huyo ticha wake wa chuo coz nyie mtakuwa mekufa so atamkosa demu
Sikupanga kucheka ila imebidi
 
Nipo na huyu msichana wangu kwa miaka mitatu sasa tukiwa na maisha ya furaha na amani sana. Lakini hafla namuona ameanza kubadilika kitabia na maneno ya kiuongo uongo kila siku zikenda. Mimi na yeye hatufichani mambo yetu simu, email fungua za mjengo wangu pia anazo ila yeye anakaa kwao bado.

Kuona mabadiliko yamekuwa mengi ndio nikaanza kujiuliza kulikoni kwa huyu mwenzangu mpaka amebadilika hivi? Manake hata simu yake sikuhizi hataki iguswe. Na ikitokezea kuiguza huruka kama paka vile, nikaona acha niongee na shoga yake wa karibu. Huyu shoga yake ndio akanipa filamu yote kuwa kuna huyu mwalimu wa chuo anamsumbua sana kwa muda mrefu na amefikia kumpa kazi ngumu na kujaribu kumfelisha baadhi ya matokeo.

Huyu mwalimu amemuanza kumtaka zamani sana tu na alikuwa na msimamo wa kumkataa sasa kuona anacheza na kumharibia kwenye masomo yake. Ameanza kulegeza kamba juzi tulipanga weekend hii kutoka kwenda samaki samaki na movie alikubali jana amenitumia sms amesema hatoweza kuja.

Sijataka kumuuliza kwanini kwasababu hii sio kawaida yake ndio nikamtext best wake akaniambia kuwa amepanga na mwalimu wa chuo watoke na akanitajia wanapokwenda. Kwa kweli iliniuma sana kusikia vile lakini nikasema acha nihakikishe kama kweli, nikawapigia washkaji zangu simu na mjomba wangu huyu anakaa mitaa ya Temeke.

Kufika siku ya jana ndio tukaanza safari mimi, mjomba wangu na rafiki zangu watatu sote tukiwa 5 tukafika beach flani. Tukashuka na kuanza kumuangaza huku na huko baada ya kama dakika 15 tukamuona amekaa pembeni yeye na huyu mwalimu wa chuo, wao hawajatuona wamekaa wakiongea.

Rafiki yangu mmoja akasema twendeni palepale walipo na kumuuliza msichana wangu anafanya nini pale? Mjomba wangu akasema hapana tuzungukeni halafu tupite mbele yake na tuwasalimie tu.

Tukafanya kama alivyosema huyu mjomba wangu kuwafikia karibu huyu msichana wangu alituona na kunyanyuka na kunifata, Hawa washkaji zangu wakamfata yule mwalimu na kuanza kumshambulia huku mmoja wao akisema lete kilainishi tumgegede huyu ngese si anajifanya kidume yeye.

Tulimuacha yule mwalimu pale beach na majeraha na kuondoka na msichana wangu nikampeleka mpaka kwao. Sasa huyu msichana wangu ndio anafunguka na kunipa mwanzo mpaka mwisho tulipo wakuta kama hajafanya nae kitu. Na shoga wake amesibitisha kuwa kweli hajafanya kitu na huyo mwalimu bado na siku hio ilikuwa ndio mara yao ya mwanzo kutoka.

Demu wangu tokea jana mpaka sasahivi ananitumia sms za kuniomba radhi nimsamehe, lakini mimi nimemjibu text yangu fupi tu. Nakutakia mafanikio mema na maisha mema. Jee kaka zangu na dada zangu wa JF mnanipa ushauri gani juu ya hili jambo?
Sasa kama umemtamkia hayo maneno kwann ulienda kumchukua bichi?
 
sasa ulipo haribu ni hapo kupita mbele ake ungempigia simu na kumuulza yupo wapa af ndo akakuzuga zen ndo mnapita mbele yake
 
Sasa kama ulikuwa haumtaki baada ya kumfumania haujui kuwa umemuharibia na kumsababishia matatizo zaidi huko chuoni. Ulikiwa hauna haja ya kwenda kumpiga huyo mwalimu na hao wenzako. Ungepita na kumuacha waendelee na yao na ampe uroda kama hautaki tena. Ajiju mwenyewe kwani weye sio mzazi wake...

Mambo mengine mimi naona bora ufumanie na kuondoka tu, sababu ulishapanga kumuacha. Sasa wewe ndio umechemsha zaidi kama ulikuwa unataka kujua na kumuacha.

Ona sasa umekosa demu na huyo rafiki yake lazima alikuambia ili umsaidie mwenzake, bali umeishia kumuumiza. Natumaini hauta enda kusaka rafiki yake awe mpenzio sababu ya udaku, na akukatae bwaaaa. Hufai

Kuweni wanaume siku zingine..
 
Embu mtafute na rubii tupige kazi

Dogo yuko bize na issue za NACTE, hapatikani kwa sasa. Ukiona comment yake ujue anatoa ushauri jinsi ya kujaza form, kuomba mkopo. Nahisi Mama Ndalichako kampa kitengo.
 
Dogo yuko bize na issue za NACTE, hapatikani kwa sasa. Ukiona comment yake ujue anatoa ushauri jinsi ya kujaza form, kuomba mkopo. Nahisi Mama Ndalichako kampa kitengo.
Kwani unadhani rubii ni mkubwa..Ni katoto..Mimi ndo nakakuza teh teh
 
tozi 25... achana na huyo demu....chukua rafiki yake....kama analipa lkn....
 
Nunua dumu la petrol,liweke chini ya kitanda.mwite demu aje gheto mgegede then funga mlango mjilipue mfe wote..hapo mtakuwa mmemkomoa Huyo ticha wake wa chuo coz nyie mtakuwa mekufa so atamkosa demu
jamani..sio kwa ushauri huu
 
Back
Top Bottom