nawaza sana ingekuwa ni wewe umejibiwa hivi ungefili vipi etii?Nunua dumu la petrol,liweke chini ya kitanda.mwite demu aje gheto mgegede then funga mlango mjilipue mfe wote..hapo mtakuwa mmemkomoa Huyo ticha wake wa chuo coz nyie mtakuwa mekufa so atamkosa demu
Dogo yuko bize na issue za NACTE, hapatikani kwa sasa. Ukiona comment yake ujue anatoa ushauri jinsi ya kujaza form, kuomba mkopo. Nahisi Mama Ndalichako kampa kitengo.
Nitakubuloki bae!
Usinibuloku bana..Btw nimekumissNitakubuloki bae!
Teh teh..Mi ndo niliyefungua mlango atiHa ha ha, eti katoto!
Unataka tuanze kuchana verse za Ngwair na Mchizi Mox hapa!
Teh teh..Mi ndo niliyefungua mlango ati
Hahaaah ney umehic naroho mbaya sana nininawaza sana ingekuwa ni wewe umejibiwa hivi ungefili vipi etii?
Duh unajina zuri..love ujamani..sio kwa ushauri huu
Ushauri wa ukweli kbsKumtakia maisha mema ni maamuzi tosha. Demu bado unampenda na hapa unataka faraja kuwa umsamehe lakini jiulize swali moja tu, kama alikuwa na nia njema na uhusiano wenu kwanini asikushirikishe matatizo yake na huyo mwalimu at least mshauriane. Je kama usingejua kuwa alikuwa beach unadhani safari ilikuwa inaelekea wapi baada ya hapo baina yake na teacher kama sio kwenda kubanjuana? Mpaka kukubali kwake kuwasiliana na huyo mwalimu tayari kumeonyesha udhaifu wake na usaliti kwako, safari hii umepata kuhisi, ukafuatilia kupelekea kumkamata unadhani mkirudiana atakuwa mzembe tena umshike mara ya pili? Wanawake wengi kijana na Mungu hutuepusha na mabalaa kwa njia tofauti tofauti pasi wenyewe kujuwa, maumivu yako ya sasa ni bora kuliko machungu ya ndani ya ndoa pale atakapokusaliti akiwa mkeo.
Hapa sisi ni mashawishi tu kujifanya wajuaji, mjua ukweli ni wewe.
thanks ...Duh unajina zuri..love u