Nimemfuma msichana wangu na mwalimu wa chuo

Mmempiga huyo mwalimu kwanini wakati ulishaamua kuwa utamuacha huyo demu wako?
Umepata nini ulivyompiga?
 
  • Thanks
Reactions: irk
Endelea nae tu huku ukiendelea kumchunguza. Kama utaona anaendelea vizuri basi itakuwa safi.
 
Kijana inaonekana wewe ni mkorofi sana labda ndo maana hata ya madhila yalipoanza hukushirikishwa mapema. Lakini wewe wamjua mwenzio zaidi kuliko sisi, tofauti na usaliti wa tunda la kati mambo mengine vepeee???, unahisi atakufaa kwa baadaye? Unampenda kweli kweli? Kama vipi msamehe tu maana unaweza kukutana na vimeo zaidi baada yake, niulize mimi aisee.

Siku hizi wanawake wa kuoa wamebaki wachache sana. Na ni ngumu sana kumpata mwenye mazuri mengi mabaya machache.

Watu wananyang'anyana mke barabani, demu anatoroshwa mpaka bukoba unamfuatilia mpaka huko, unamnyang'anya mshkaji unarudi naye dar awe mama watoto sembuse beach tu mkuu.
 
Kumtakia maisha mema ni maamuzi tosha. Demu bado unampenda na hapa unataka faraja kuwa umsamehe lakini jiulize swali moja tu, kama alikuwa na nia njema na uhusiano wenu kwanini asikushirikishe matatizo yako na huyo mwalimu at least mshauriane. Je kama usingejua kuwa alikuwa beach unadhani safari ilikuwa inaelekea wapi baada ya hapo baina yake na teacher? Mpaka kukubali kwake kuwasiliana na huyo mwalimu tayari kumeonyesha udhaifu wake na usaliti kwako, safari hii umepata kuhisi, ukafuatilia kupelekea kumkamata unadhani mkirudiana atakuwa mzembe tena umshike mara ya pili? Wanawake wengi kijana na Mungu hutuepusha na mabalaa kwa njia tofauti tofauti pasi wenyewe kujuwa, maumivu yako ya sasa ni bora kuliko machungu ya ndani ya ndoa pale atakapokusaliti akiwa mkeo.
Hapa sisi ni mashawishi tu kujifanya wajuaji, mjua ukweli ni wewe.
Kweli unayoyasema lakini kuna msemo unasema kufanya kosa si kosa ila kurejea kosa ndio kosa. sijui hivi ni kweli
 
Na ndio maana nikakwambia hapa kwenye jukwaa wote sisi ni mashawishi tu wa kuwa wepesi kushauri, anaejua ukweli na kipi hasa unachohitaji ni wewe mwenyewe tu. Fuata moyo wako unavyotaka na si kipi utakachoshauriwa. Binadamu tumeumbwa na mapungufu na moyo uliopenda hufanya mapungufu yote kuwa ni utimilifu. Ikiwa unahisi upendo wako kwake ni zaidi ya chuki kwa kitendo alichofanya basi hapo ndio pakupata maamuzi.
 
Kijana inaonekana wewe ni mkorofi sana labda ndo maana hata ya madhila yalipoanza hukushirikishwa mapema. Lakini wewe wamjua mwenzio zaidi kuliko sisi, tofauti na usaliti wa tunda la kati mambo mengine vepeee???, unahisi atakufaa kwa baadaye? Unampenda kweli kweli? Kama vipi msamehe tu maana unaweza kukutana na vimeo zaidi baada yake, niulize mimi aisee.

Siku hizi wanawake wa kuoa wamebaki wachache sana. Na ni ngumu sana kumpata mwenye mazuri mengi mabaya machache.

Watu wananyang'anyana mke barabani, demu anatoroshwa mpaka bukoba unamfuatilia mpaka huko, unamnyang'anya mshkaji unarudi naye dar awe mama watoto sembuse beach tu mkuu.
Duh mkuu kama unanijua vile ukorofi kweli ninao na huyu demu ananiogopa kweli kwa huo ukorofi. Hio jana mjomba wangu alininyanganya bastola ya dingi niliichukuwa sijui ingelikuwaje
 
Kuchapiwa siri ya ndani mkuu.
Lakini msamehe mpe another chance sababu bado inaonekana unampenda, ila ingekua mimi hata hizo text zisingeingia kwa simu yangu mana angekula block ya maana kama UKUTA
 
Nipo na huyu demu wangu kwa miaka mitatu sasa tukiwa na maisha ya furaha na amani sana. Lakini hafla namuona ameanza kubadilika kitabia na maneno ya kiuongo uongo kila siku zikenda. Mimi na yeye hatufichani mambo yetu simu,email fungua za mjengo wangu pia anazo ila yeye anakaa kwao bado. Kuona mabadiliko yamekuwa mengi ndio nikaanza kujiuliza kulikoni kwa huyu mwenzangu mpaka amebadilika hivi? manake hata simu yake sikuhizi hataki iguswe. Na ikitokezea kuiguza huruka kama paka vile, nikaona acha niongee na shoga yake wa karibu. Huyu shoga yake ndio akanipa filamu yote kuwa kuna huyu mwalimu wa Chuo anamsumbua sana kwa muda mrefu na amefikia kumpa kazi ngumu na kujaribu kumfelisha baadhi ya matokeo. Huyu mwalimu amemuanza kumtaka zamani sana tu na alikuwa na msimamo wa kumkataa sasa kuona anacheza na kumharibia kwenye masomo yake. Ameanza kuregeza kamba juzi tulipanga weekend hii kutoka kwenda samaki samaki na movie alikubali jana amenitumia sms amesema hatoweza kuja. Sijataka kumuuliza kwanini kwasababu hii sio kawaida yake ndio nikamtext best wake akaniambia kuwa amepanga na mwalimu wa chuo watoke na akanitajia wanapokwenda. Kwa kweli iliniuma sana kusikia vile lakini nikasema acha nihakikishe kama kweli, Nikawapigia washkaji zangu simu na mjomba wangu huyu anakaa mitaa ya Temeke. Kufika siku ya jana ndio tukaanza safari mimi,mjomba wangu na rafiki zangu watatu sote tukiwa 5 tukafika beach flani. Tukashuka na kuanza kumuangaza huku na huko baada ya kama dakika 15 tukamuona amekaa pembeni yeye na huyu mwalimu wa chuo, wao hawajatuona wamekaa wakiongea. Rafiki yangu mmoja akasema twendeni palepale walipo na kumuuliza demu wangu anafanya nini pale? Mjomba wangu akasema hapana tuzungukeni halafu tupite mbele yake na tuwasalimie tu. Tukafanya kama alivyosema huyu mjomba wangu kuwafikia karibu huyu demu wangu alituona na kunyanyuka na kunifata, Hawa washkaji zangu wakamfata yule mwalimu na kuanza kumshambulia huku mmoja wao akisema lete kilainishi tumgegede huyu ngese si anajifanya kidume yeye. Tulimuacha yule mwalimu pale beach na majaraha na kuondoka na demu wangu nikampeleka mpaka kwao. Sasa huyu demu wangu ndio anafunguka na kunipa mwanzo mpaka mwisho tulipo wakuta kama hajafanya nae kitu. Na shoga wake amesibitisha kuwa kweli hajafanya kitu na huyo mwalimu bado na siku hio ilikuwa ndio mara yao ya mwanzo kutoka. Demu wangu tokea jana mpaka sasahivi ananitumia sms za kuniomba radhi nimsamehe, lakini mimi nimemjibu text yangu fupi tu. Nakutakia mafanikio mema na maisha mema. Jee kaka zangu na dada zangu wa jf mnanipa ushauri gani juu ya hili jambo?
Asante kwa simuliz nzur
 
WEKA PICHA MKUU.
 
ushamtakia maisha mema sass tukikushauri ukamrudie utaenda kumuomba msamaha au?!
alafu ww jamaa huyo demu umpendi wala nini ulitaka amkatae mwalimu alafu amfelishe kwenye pepa au?

alafu ujamalizia kwa hiyo mlipata vilainishi kule beach au iliishaje?!
 
Back
Top Bottom