Nimemfuma akinywa KONYAGI akiwa anazuga kafunga!!

Nimemfuma akinywa KONYAGI akiwa anazuga kafunga!!

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
ImageUploadedByJamiiForums1404235986.784895.jpg anadhani mungu amwoni!!
 
Hivi nani kakuambia kila anaevaa hivi ni muislam?
Hebu jaribuni kupekuwa mavazi ya Dada zenu kama hizo nguo hazipo?
 
Tutajuaje kama hii picha umepiga kipindi cha ranadhani
 
Tutasikia mengi tu kipindi hiki. Mara flani kavunga amefunga, kaenda mtaa wa pili kula kitimoto!
 
kuwa na bunduki siyo sisi tuamin kwamb ww n mwanakjeshi hayo n mavazi tu na cyo iman ya mtu
 
Nikisema kipindiki hiki biashara ya kiti moto imedoda mtaanza kunitusi
haya mi
napita tu
_
_
_ccc. faiza foxy
 
Last edited by a moderator:
Kila mtu ana mungu wake yeye kaamua kuboost maini wengine mnalalamika.Kila mtu atatoa hesabu yake siku ikifika.
 
Hivi nani kakuambia kila anaevaa hivi ni muislam?
Hebu jaribuni kupekuwa mavazi ya Dada zenu kama hizo nguo hazipo?

Nimesoma tena na tena hio post sijaona mahali jamaa kataja Uislamu. Hilo la nguo nakuunga mkono.
 
Back
Top Bottom