Nimemchoka sana mama yangu

Nimemchoka sana mama yangu

Pole sana mpendwa! ila huyo ndio mama yako mvumilie, mpende, muombee dua njema.
mie mwenzio nimeshamiss neno mama

Kwa upande wangu nasema: MAMA YANGU APUMZIKE KWA AMANI
 
yani story yako geuza uweke neno baba ndo yalinikuta na saizi ndo mama hayuko basi hapo ndani kimya tu. na niko na majanga ya kipesa sina mbona nitaisoma.
pole sana
 
Wamama wengi huwa wanatatizo hilo mamangu pia ni mmoja wao kanilea kigaidi na vitendo vingi ambavyo mtoto hastahili kutendewa na mamake alafu mbaya zaidi nafanana nae kila kitu mpaka majirani wanakua wanauliza huyu ni mamake kweli Ila tunavyofanana wanaishiwa pozi Ila nikaja gundua shida au chanzo cha yote ni kutokana na mahusiano mabaya wanayokua nayo na mababa zetu yani unakuta mama akiniangalia namkumbusha baba anajikuta kanichukia Mimi kupita kiasi
But still I love my mum pamoja na mabaya yote aliyonifanyia she is still my mother
pole na hongera
 
Pole sana anakufanyia ivo n hasira za yy na baba yko enzi wakiwa wapenzi au wakat alipata ujauzito wako mimba ikakataliwa ndo mana anakisasi na ww ila usijal omba mungu atakusaidia coz wako waliopitia mateso makal na mungu akawavusha. Pia usitumie mwili wako kutafuta faraja na furaha badala ya kupata furaha ukapata magonjwa au mimba na wakakutekeleza , ww focus kweny malengo yako utafanikiwa
 
Story yako inafanana na jirani yetu, yule Dada kaolewa akiwa na mtoto wake tayari WA kama miaka 4 ivi,na kwa mume pia akakuta watoto wawili halafu wakazaa mtoto Mika, Anawapenda watoto wa mumewe kale katoto kake hatak hata amsogelee, akifanya kosa lolote japo ni mtoto atachezea vibao. Hadi mtoto ashind nyumban muda wote anaenda kucheza mbali na nyumbani
 
Story yako inafanana na jirani yetu, yule Dada kaolewa akiwa na mtoto wake tayari WA kama miaka 4 ivi,na kwa mume pia akakuta watoto wawili halafu wakazaa mtoto Mika, Anawapenda watoto wa mumewe kale katoto kake hatak hata amsogelee, akifanya kosa lolote japo ni mtoto atachezea vibao. Hadi mtoto ashind nyumban muda wote anaenda kucheza mbali na nyumbani
inauma sana
 
Umesema uliwahi kubakwa ukiwa angali 7 year old......hii bila shaka imekuletea tatizo kwasababu kama ulishindwa kusema kwa mlezi wako itakuwa uliendelea kuficha mambo mengi yaliyotokea baadae...inawezekana huyo aliyekubaka alifanya hivyo zaidi ya mara moja, mara mbili?........hii imekutengenezea hali ya "kuvumilia" mambo maovu katika maisha yako. Unajua ukiwa mtu wa kunungunika tu kwasababu huna namna ya kufanya......na hali hiyo ikaendelea muda mrefu unakuwa huna "mvuto" ni kama vile una-atract mambo mabaya yaje kwako. Ngumu kuelezea.....ila unahitaji kuacha kuwa LEGELEGE kimtazamo......none but ourselves can free our minds......hakuna atakayeweza kukutoa hapo......tafuta kazi, ukipata jaribu kuwa STRONG kwa huyo mama yako na wote wanaokuzunguka. Sisemi uwe strong udharau watu, ugombane na watu.....no....namaanisha usikaribu ku-please watu hata kama ni familia yako. Life is very short usipoteze time.
 
Mama ni mama tu, mpende mama muheshimu mama upate heri na miaka mingi duniani
Mama ambaye hana mapenzi na mwanae wa kazi gani? Siwezi kumuheshimu wacha nikose hiyo heri .
 
Back
Top Bottom