Nimemchoka sana mama yangu

Nimemchoka sana mama yangu

pole mamy.. ila ukweli ni huu mama yako hana mapenzi na wewe tokea ukiwa tumboni labda baba alisababisha , labda anachukulia wewe ndiyo umemuharibia pamoja na kuwa ni starehe zake..endelea kumpenda na sina maana ujiependekeze kwake no muheshimu mama yako, fanya lile linalokupa faraja unataka nini maishani fanya hilo bila kujaili hakuna maisha marahisi kila jambo lina changamoto ni wewe kuwa tayari kuzikabili.... be positive usimuwaze sana mama yako usiwaze sana past yako.. nakueleza haya from experience maisha ni mind set and risk taking move on one day yes,,
Thankyu very much
 
hilo ni fumbo zito, ebu jiulize kwanini mama yako hakukueleza habari kuhusiana na baba ako? atakae weza kukufumbulia fumbo hilo ni baba ako mzazi pekee...unajua wanawake huwa na akili tofauti kidogo pale anapoumizwa au anapopata ujauzito bila kutegemea....inawezekana mama ako alikupata pasipokutegemea...alijaribu kukutoa ikashindikana ata iweje hawezi/huwezi kuwa na mapenzi naye...inawezekana pia pengine uhusiano wake na baba yako uliathiri sana maisha ya mama yako pengine kutokana na mimba yako...hivyo aliichukia mimba akajikuta anakuchukia na wewe....ishi nae kwa upendo mpende kwa kuwa ndie aliekufanya ukafika hapo ulipo...usimchukie ila mtafute baba ako kipo kikubwa utakipata. ila kwakuwa hakupenda kukufahamisha habari za baba ako jitahidi kufanya jitihada za kumtafuta baba kwa siri iwe siri kubwa sana maana wazazi wa kike mara nyingine hawashindwi kutoa laana mara tuu uoneshapo dalili za kumfuata mzazi wa kiume...nakumbuka mimi mama angu alikuwa ananiambia sifa mbaya za baba angu...ili tu kuniweka mbali naye
babangu nilikua nawasiliana nae but alikua hajali kwasabab anaona uwezo mama anao siyo kama mkewe .ila watoto wengne anawajali na kuwasomesha kitu ambacho mamangu alikua anachukia nakunipiga stop. baba ana 5 children ukinitoa mimi so akawa anasaidia kidgo na kumtel mama yeye anamzgo mkubwa wasaidiane ndo ugomvi unapoongezeka.
 
Inawezekana alibakwa ndo akapata mimba yako so hasira zote anamalizia kwako. Pole sana aisee
Asante sana..mamdgo aliniambia mama alikua na mahusiano na babangu( akiwa mume wa mtu) ya muda mrefu sasa hapo sijui alibakwa Vipi..kwa nnavyoona mama huwa anampenda babangu mzazi na kumchukia sana mkewe japo na yeye ana mume wake
 
Pole dada,nakushaur kazana kutafuta kazi ama biashara ya kufanya jaribu kua mstahimilivu kipindi hiki ila usikae tu tafuta cha kufanya ukishapata mwage kabisa na ondoka ukajitegemee, ukiendelea kukaa hapo hata kama umezoea maswahibu itakupa shida sana, na pia achana na mahusiano mengi pata mwenzako mmoja ambae utajiridhisha nae na ataelewa situation uliyonayo na zaid atakua mfariji wako sio akuongezee stress nyingine.. ni hayo tu dada. Pole sana.
 
Ungeweka ka CV humu kuna watu wameumia na ulichoandika wanaweza wakakutonya uende sehemu kuna kibarua kinachokufaa kulingana na elimu yako.
nashukuru sana.siwezi kuweka hapa CV yangu..
 
My dear pole sana tena sana, i knw how it feels, haya mambo yapo saana, me nimeshayasikia kwa mtu zaidi ya mmoja, ila nnachotaka kukwambia katika hayo yote, wewe sali sana tena mmmno najua kuna wakati utasikia kuchoka na kuona pengine Mungu hakusikii ila hiyo ni sauti ya shetani wewe endelea kuomba tu, hakuna aombae akakosa kupokea Mungu ni wa Rehema sana na Neema hatakuacha haijalishi muda gani utapita, Muombe Mungu sana akupe amani, akupe upendo kwa mama yako, na aifungue nafsi ya mama yako, pia na nafsi yako iwe huru na akuepushe namaroho hasa ya kukataliwa, pale unapohisi uchungu umezidi sana mpaka kuwaza mabaya juu mama yako siku isiishe hujatubu ili hiyo dhambi isiote mizizi mana kutokana na situation yako ukiicha hiyo mizizi iote hutaweza kuing'oa. Nakwambia hivyo kwasababu madhara ya situation unayopitia wewe ni makubwa mno, bila kumtegemea Mungu, hali hiyo huleta sana roho za kukataliwa, utajikuta kila mtu unaona hakupendi na wewe pia hutakuwa na upendo katika jamii, utaishi maisha ya kutengwa na kujitenga, na wakati wote utakuwa mtu mwenye uchungu na hasira, utaishi bila amani maisha yako yooote, hakuna utakapoenda au utakaekaa nae kwa amani utakuwa ni mtu wa kuhisi unaonewa wakati wote, usietaka hata kukoselewa hata kama kweli umekosea utakuwa ukiambiwa tu unapanic na kujenga chuki hata ndoa inaweza ikushinde. Kwahiyo mtegemee sana Mungu saaana na muombe sana akuepushe na hiyo roho ya kukataliwa mana kutokana na situation yako haichezi mbali na wewe.
 
nashukuru sana
 
Asante sana..mamdgo aliniambia mama alikua na mahusiano na babangu( akiwa mume wa mtu) ya muda mrefu sasa hapo sijui alibakwa Vipi..kwa nnavyoona mama huwa anampenda babangu mzazi na kumchukia sana mkewe japo na yeye ana mume wake
Muombe sana Mungu amuondolee hasira mama yako ili muishi maisha ya amani maana hakuna upendo mtamu kama wa mama na bintiye
 
pole mamy.. ila ukweli ni huu mama yako hana mapenzi na wewe tokea ukiwa tumboni labda baba alisababisha , labda anachukulia wewe ndiyo umemuharibia pamoja na kuwa ni starehe zake..endelea kumpenda na sina maana ujiependekeze kwake no muheshimu mama yako, fanya lile linalokupa faraja unataka nini maishani fanya hilo bila kujaili hakuna maisha marahisi kila jambo lina changamoto ni wewe kuwa tayari kuzikabili.... be positive usimuwaze sana mama yako usiwaze sana past yako.. nakueleza haya from experience maisha ni mind set and risk taking move on one day yes,,
Leo umetema points za ukwel..
 
Wamama wengi huwa wanatatizo hilo mamangu pia ni mmoja wao kanilea kigaidi na vitendo vingi ambavyo mtoto hastahili kutendewa na mamake alafu mbaya zaidi nafanana nae kila kitu mpaka majirani wanakua wanauliza huyu ni mamake kweli Ila tunavyofanana wanaishiwa pozi Ila nikaja gundua shida au chanzo cha yote ni kutokana na mahusiano mabaya wanayokua nayo na mababa zetu yani unakuta mama akiniangalia namkumbusha baba anajikuta kanichukia Mimi kupita kiasi
But still I love my mum pamoja na mabaya yote aliyonifanyia she is still my mother
 
yani story yako geuza uweke neno baba ndo yalinikuta na saizi ndo mama hayuko basi hapo ndani kimya tu. na niko na majanga ya kipesa sina mbona nitaisoma.
 
Back
Top Bottom