Habari, pole saana kwa mkasa huo very touching and sad ila nikuambie kitu au ushauri wangu, wewe vumilia isi kuumize kichwa chukulia ni changamoto ya maisha kila mtu ana shida zake au mzigo wake,mfano wewe unalia hivyo ila mwingine anatamani angekua hata position kama yako maana una umesomweshwa, na nyumbani una lala kwake nakula una kula, watu wako mitahani awana baba wala mama kula kwa shida wanakula majajarani,huyo mama anakupenda tuh wewe ujui na iko siku atakupatia ulicho kua unataka from now where.ila masimango yapo wa swahili wana sema maneno hayaui wewe ya chukue ya ufanye ya kujenge. pili huyo ni mama yako msamehe bure usimchukie usichukie ame beba mimba miezi tisa, mpaka amekuza, na mpaka ukafikia hapo so nikushukuru tuh yaani huo ni mtihani dot fail have faith.kila anapo kusimaga labda unaona hivyo wewe shukuru muungu daraja lako linaogezeka, dada pepo yako iko chini ya wazazi wako wa wili baba na mama so una jinsi hata mama angekua mchawi vipi still ni mama yako na ukifanya chochote against kwa mungu unalo, unless akukataze mambo ya ibada hapo ndo unarusiwa kua against.otherwise kua mpole mpaka utapoolewa hapo sasa pepo yako inamia kwa unyao wa mumeo mpende mumeo muheshimu,huo ni mtihani mdogo.