Nimemchoka mwanaume huyu lakini nampenda nifanyeje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimemchoka mwanaume huyu lakini nampenda nifanyeje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by nyambura, Apr 4, 2011.

 1. n

  nyambura Member

  #1
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi ni msichana nina boyfrend wangu ambaye mapenz yetu yameanza tangu tukiwa udsm mwaka 2004-2007na mpaka leo tunaendelea,mimi nilikuwa wa kwanza kupata kaz 2009 na yeye kipindi chote alikuwa yupo tu mpka alipoenda jeshin na kukamishen mwaka jana .
  matatizo yanayonifanya niombe ushauri ni kama yafuatayo..naomben mniambie km anaweza kubadirika nikimpa muda wa kujirekebisha au nitakuwa napoteza muda tu?

  1.ni chapombe tangu tukiwa chuo na nikawa nasema labda ni utoto tu wa shule uenda tukimaliza ataacha lakin hali haikuwa ivyo aliendelea kulewa sana ata afta chuo.

  2.tulipokuwa tunapewa boom yeye analimaliza mapema lake then kaz inakuja kwangu .naomba unisaidie nauli ,naomba unisaidie ela ya kula sina mi skuwa na hiyana nampa tu kama ninayo

  3.yeye hajawai kunipa ata sh kumi ni mimi tu ambaye namsaidia akikwama na mara akifanikiwa kupata pesa basi mapenzi yanapungua lakin akiishiwa mapenz,unyenyekevu na mahaba graph inapanda

  4.kila nikimwambia ajirekebshe yaan analia anasema hajui kinachomsukuma kufanya ivo cz ata yeye pia hapend,wazaz wake wamemwonya sana lakini hasikii ilifikia hatua alikuwa km chizi ivi yaan too much pombe akisimama tu pale unajua mhh this is chapombe

  5.juzi kapokea mshahara within 2wks kazinywea zote na majuz akaanza kuniomba ela ya nauli alivyokuja kunitembelea


  7.analilia nimzalie mtoto/tuoane lakin nikiangalia mambo yake hofu inanijia kwamba ntakuja kuona rangi zote za dunia nikiwa ndoani nayeye


  1.JE KUNA SIKU ANAWEZA KUBADIRIKA?
  2.ANAWEZA KUTAMBUA NA KUJITAMBUA HE IS A MAN N ACT AS A MAN?
  3.SHOULD I LEAVE HIM AU NIFANYEJE?

  naomben ushauri cz naamin watu wa jf wana busara na hekima sana na ndiyo maaana nikawashirikisha kilio cha moyo wangu ili nipate msaada.
  asanten n may god bles u
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Apr 4, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Kubadilika kuacha pombe tu au kuna kingine au na hiyo ya kuomba nauli akiishiwa??? Kama ni Pombe kuacha ngumu aisee sijui lakini
   
 3. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Acha upuuzi kua, macho unayo lakini huoni.. masikio unayo lakini husikii :bored: sasa unataka tukusaidie nini wakati kila kitu ushaona kila kitu mwenyewe!! Kwani umeambiwa wanaume wameisha?????:disapointed:
   
 4. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kama yuko addicted kwenye pombe, kwa juhudi zake sio rahisi. Kama unaamini Mungu anaweza, mshauri aende kuombewa na hilo pepo la pombe litatoka, na atakuwa kijana mzuri.
  Otherwise pole sana..
   
 5. s

  sawabho JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Lazima uwe na hofu na uwe mwagalifu sana. Kama kaanzia chuo, hiyo ni tabia yake lakini tabia inaweza kubadilika akipata ushauri mzuri. Usahuri wangu ni huu: 1. Usikubali kuzaa naye kabla ya ndoa maana kuna uwezekano ukimwambia tu kuwa tayari una ujauzito wake hataonekana kwako. 2.Mwambie kuwa hiyo tabia yake inakukera au tafuta rafiki yake wa karibu aongee naye 3. Kama ikishindikana tafuta mtu wa makamo aongee naye au watu wa dini kama nyie ni watu wa dini 4. Baada ya maongezi hayo jipe muda wa kutosha kuchunguza kuona kama atabadilika, akibadilika ingia kwenye ndoa takatifu kulinga na imani yenu, asipobadilika achana naye, ndoa haijaribiwi.
   
 6. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  POLE SANA, NYAMBURA ..waliosema NGOJA NGOJA YAUMIZA TUMBO HAWAKUKOSEA manake mmh!!.
  KUHUSU KUMWACHA MIMI SIWEZI KUKUSHAURI UFANYE HIVYO, ILA TUMIA UTASHI WAKO MWENYEWE JE UPO TAYARI KUMVUMILIA YOTE HAYO,,MSHUKURU MUNGU AMEKUONESHA MAPEMA TABIA MBAYA YAKE KABLA HAMJAOANA. HATA HUKO KUZAA NAYE JIPIME MWENYEWE JE UPO TAYARI KUMLEA HUY MTOTO PEKE YAKO?? UWEZO WA KUJILEA WEWE,MWANAUME NA MTOTO WENU JE UNAO??,,MANAKE HAPO NAAMINI HAKUTAKUWA NA MSAADA TOKA KWA BABA KWENDA KWA MTOTO...
  SOMA NA THREAD ZA WENGINE PIA UPATE EXPERIENCE ZAIDI.....PIA ENDELEA KUPOKEA MAONI YA WANA JF WENGINE YATAKUSAIDIA NINI CHA KUFANYA,,

  POLE SANA SANA SANA SANA.....ILA KUWA MAKINI SANA KUZAA KABLA HAUJAPA MAJIBU YA HAYO MASWALI HAPO JUU, KUZAA SI HOJA ,,KAZI NI KULEA MWANA TENA KUBWA SANA.
   
 7. n

  nyambura Member

  #7
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  ikiwezekana aache vyote
  mwanaume ajawai kunipa ata sh kumi yake ni mimi tu wa kumsaidia
  akiwa na shda mapenz yanapanda sana lakin akiwa na ela anakuweka kando mpk akiishiwa ndo mahaba utayaona

  kuniomba nauli pia spend y asiwe anaifadhi pesa zake?yeye zote ananywea afu mimi ndo wakufiks panapoitajika is it fear?


  mimi sinywi lakin yeye sijamwambia aachew kabsa nimemmwambia anywe kwa kiasi na akumbuke majukumu na aanze kujipanga kimaisha likin yeye walaaaaaaaaaaaa as if ana maisha fulani kumbe hana chochote kuish anaish kwenye mabanda ya bati ya jeshini akili ya kujijenga hana na nimemshauri mpka nimechoka ..
  unamshauri leo kesho akipata ela anazipeleka bar zote

  anapenda sana kuniomba pesa i kwangu siitak cz nahisi itanisumbua mbelen ..wakat hana kaz nilikuwa naona poa tu na nilikuwa nampiga tafu kwa kujua akipata kaz msalaba nitautua lakin hali imezd kuwa mbaya ela zote za mshahara ananywea sjawai kuona ata sh kumi yake ..i kweli inanikera sana
   
 8. Bones

  Bones Member

  #8
  Apr 4, 2011
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Siku njema huanza alfajir,
  lakin kwa maelezo yako
  nadhan ucku umeshaingia!
  Na samaki mkunje angali mbichi,
  hvyo kwa semi hizo mbili yatosha kukwambia umechelewa!
  Tafuta mwengne mwenye kujua thamani ya utu na mwenye mapenzi ya dhati kwako!
  Kusaidiana kwenye mapenzi ndio msingi wa penzi la kweli ila huyo jamaa anashndwa kuitambua nafasi yake kwako!
  Chapa ilale dada yng, tafuta mwengne!
   
 9. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Kula kona mwana wane. Hilo ni bomu litakulipukia karibuni
   
 10. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Wewe unangoja nini hapo??? Timua tuu maji hayasahau kale. Yakichemshwa lazima yapoe yakigadishwa lazima yarudi katika hali yake hata yakiwa mvuke usiyatarajie kuishia hewani lazima yarudi katika hali yake.Humo ndani ya jeshi pombe ni bwelelee bei poa kwa kwenda mbele, sasa unadhani ndo atawezqa kuiacha.Lakini hapa tatizo siyo pombe tuu,Kwani mbona wengine ni wachapaji mtindi na mambo yanawaendea fresh tuu.Hapo tatizo ni UPSTAIRS ya huyo afande kijana mwenye darasa lake.
  Kwa hiyo bibie wewe piga timu tu umpate mwenye sifa unazotaka.KWAHERI, Ngoja niwasikilize wavumilivu wa maumivu ya mwili wanasemaje hapo.
  :help:
   
 11. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  aisee komaa nae huyo bana.. kama ni pombe tu mwombee mungu huenda siku moja akapunguza au kuacha kabisa

  sasa ukimuacha halafu ndio iweje? utafute mwingine? ok ukipata mwingine ukakuta player aliyekubuhu utafanyaje?
   
 12. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Just only the red, is enough to be red sign towards your plans....! Be very careful, hapo mimi ingetosha kunitia wasiwasi na kupelekea maamuzi ya kumwacha kabisa....
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,813
  Likes Received: 83,188
  Trophy Points: 280
  Miaka saba sasa huyu jamaa bado hataki kubadilika. Kwa maoni yangu usiendelee kupoteza muda wako au utakuja kujuta sana maana hana nia yoyote ile ya kubadilika na kuachana na pombe.
   
 14. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Daah pole kwa uvumilivu shost!!!

  hakufai huyo, mwache atafute chapombe mwenzie, ss kama wazazi wake wameshindwa ww utaweza kumbadili??????????

  take ua time mamaa!!!
   
 15. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #15
  Apr 4, 2011
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  hiyo no 3 tu tayari ni jaribu la kutosha, kuhusu pombe nyambura huyu wako anaonekana bial pombe hakuna maisha, kuna wanywaji wa pombe na walevi wa pombe, kumbadilisha mtu mzima ni ngumu sana sasa...wanaosema muombee Mungu ipo cku tegemea kweli ipo cku na kila cku utaambiwa niombee ipo cku ipo cku"jisaidie nitakuwaidia" kama haonyeshi dalili za mabadiliko kuanzia miaka hiyo ndio aje abadilike sasa? umuombee na yeye akionyesha ushirikiano la sivyo utakesha kwa kuishia kulia....goodluck!
   
 16. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #16
  Apr 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Hii heading ya thread ni TATA! Hauwezi kumchoka mtu/kitu ambaye/ambacho unakipenda - haiwezakani - labda kwenye sayari zingine!!!!
   
 17. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #17
  Apr 4, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Nyambura "umejibatiza' lini bila kunitarifu? sorry for off topic

  afu wewe na nunnu mna matatizo yanafanana? kweli 'masharobaro" wamekuwa wengi siku hizi....
   
 18. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #18
  Apr 4, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Usipo kuwa makini na wewe utarudi kuomba ushauri kama huu, hapa chini,naomba uusome!
  Naomben ushauri.
  Tukufurahisha kwenye 6*6 isiwe sababu ya kufanya maisha yako yawe ya kupiga hatua 2 mbele leo,kesho unapiga 10 kurudi nyuma,unless kama hivo ndo mmpenga kuishi!

  Waaake up,napenda kushauri mtu kuvunga uchumba na sio kuvunja ndoa,hujachelewa,...ila kama unampenda endelea nae naimani utarudi kuomba ushauri kama huo hapo juu,..

  Na mda huo ukifika,nitauleta tena uuusome
   
 19. M

  Marytina JF-Expert Member

  #19
  Apr 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hamna namna miaka yote nadhan ushajijengea namna ya kumhandle
  kumwacha sio mpango considering miaka yooooooooooote uliyokaa naye pia kila mwanaume ana mapungufu yake na si rahisi kama wana Jf wanavyodhania kumpata mwanaume wa ukweli.Bora nusu shari kuliko shari kamili
   
 20. L

  Leornado JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ukimuacha ndio atakuwa cha pombe zaidi, na hivi ni mwanajeshi kuna hatari kuwa anaweza kukudhuru

  Jaribu kumtafutia saikolojisti amsaidie.
   
Loading...