Nimemchoka mwanaume huyu lakini nampenda nifanyeje?

Kama hata uchumba bado anakusumbua hivi itakuwaje mkifungana pingu. Jitoe huko la sivyo hata rangi ya hewa utaiona
 
Dada, muonee huruma mtoto wa mwenzio.; Ukimuacha si atakufaaa huyo na wewe umemlea kwa huruma kwa miaka yote hiyo?
 
Pole sana, a bottle is affecting your relationship. To love someone, you must love all of them or a big part of them and from where his standing; nothing comes bigger than physical intimacy. Drinking can put a lot of strain on the relationship. Less responsibility is assumed by the person drinking and this can become unfriendly to the partner. For couples with children, the weight of alcohol is even heavier. There is less time spent with them, a bad example is set and incidences like violent outbreaks can psychologically wind down the child(ren). They may also be at risk in case the drunken party lashes out at the kids. However, you sound as if you are in a cohabitation marriage. Mimi nadhani since it is your life, talk to him and give him a room to change, if he doesn’t then think twice.
 
Nyambura,pole kwa yote. Inaonekana tayari una uamuzi mkononi ila umeuleta Jf upigwe muhuri. Kama uyo mjeda hujataja hata zuri hata moja na umeuambia umma kuwa anakuchuna,je ni vema kuendelea naye?je ndo ulichokitaka kukiona kwa mwanaume? Je malengo yako yametimia? Dada,unapaswa uishi kwa masharti ya dhamira yako,ukiona moyo umetulia kwa uyo,basi kaa ulipo. Kama unaona unateseka ya nini uendelee kusumbuka?dada fanya uamuzi leo. Hamna atayekushauri muachane wakati unaona anakufaa au mugang'ane wakati unaona anakunyonya. Kama ni wanaume tuko wengi or sorry wako wengi ambao hawajaoa,na wametulia. Jaribu kuangaza pande zote uone je kuna mwenye sifa unazozitafuta? Tatizo la wanawake wengi mna inferiority complex. Ni tatizo kubwa. Dada hujasoma na kuangaika ili uishie matatizoni. Kumbuka pia kuna matokeo ya ulevi,je umeyafikiria?mlevi hufanya kila anachojisikia alaf asubuhi anajuta! Je huko tayari kujuta naye pale atapoona yatokanayo na ulevi yamemletea matatizo makuu? Usiogope,naona unawaza eti 'yapi kwani?' ok,ni kuvunjika,kuibia hadi nguo,kuambukizwa kaswende,kisonono,n.k,kugonga au kugongwa na vyombo vya usafiri. Eti anajiuliza mbona kwenye mchango huu kuna n.k ndo nini? Anyway jihadhari unless kama mmeshaamua kuwa mwili mmoja milele. Tofauti na hapo you still have a chance,to sign or shread a paper. All the best through your decision. Kumbuka, Mme bora utoka kwa Mungu.
 
Kwa Wenzako mwanzo huwa mzuri ndipo baadaye mambo hubadilika!

Sidhani Kama ni busara kijiingiza kwenye matatizo wakati unajiona. Hii tabia ya kusema, one day atachange u can as well andika maumivu! Tumeona wengi wa sina hiyo!
 
Nyambura,pole kwa yote. Inaonekana tayari una uamuzi mkononi ila umeuleta Jf upigwe muhuri. Kama uyo mjeda hujataja hata zuri hata moja na umeuambia umma kuwa anakuchuna,je ni vema kuendelea naye?je ndo ulichokitaka kukiona kwa mwanaume? Je malengo yako yametimia? Dada,unapaswa uishi kwa masharti ya dhamira yako,ukiona moyo umetulia kwa uyo,basi kaa ulipo. Kama unaona unateseka ya nini uendelee kusumbuka?dada fanya uamuzi leo. Hamna atayekushauri muachane wakati unaona anakufaa au mugang'ane wakati unaona anakunyonya. Kama ni wanaume tuko wengi or sorry wako wengi ambao hawajaoa,na wametulia. Jaribu kuangaza pande zote uone je kuna mwenye sifa unazozitafuta? Tatizo la wanawake wengi mna inferiority complex. Ni tatizo kubwa. Dada hujasoma na kuangaika ili uishie matatizoni. Kumbuka pia kuna matokeo ya ulevi,je umeyafikiria?mlevi hufanya kila anachojisikia alaf asubuhi anajuta! Je huko tayari kujuta naye pale atapoona yatokanayo na ulevi yamemletea matatizo makuu? Usiogope,naona unawaza eti 'yapi kwani?' ok,ni kuvunjika,kuibia hadi nguo,kuambukizwa kaswende,kisonono,n.k,kugonga au kugongwa na vyombo vya usafiri. Eti anajiuliza mbona kwenye mchango huu kuna n.k ndo nini? Anyway jihadhari unless kama mmeshaamua kuwa mwili mmoja milele. Tofauti na hapo you still have a chance,to sign or shread a paper. All the best through your decision. Kumbuka, Mme bora utoka kwa Mungu.

Kaka unajipigia chepuo. Kusikia tu kuwa anatoaga nauli basi we ushaona deal! Ngoja siku hiyo atakuja kukuanika hapa ndo utakoma!
 
HAPO HAKUNA MTU DADA YANGU, WE CHAPA LAPA, usipo achana naye baadaye utajuta, mimi nina mdogo wangu aliolewa na mwanaume wa aina hiyo, yeye alikuwa ndiye kila kitu kuanzia kujenga, chakula na matunzo ya mtoto, mwishoni alishindwa. Hivi sasa wameachana. Chukua uamuzi huu sahihi before it is too late. Siku njema
 
afrodenzi;1815480]Daahha
huyo anahitaji professional help
kwa sababu ni alchoholic..
akipata good treatment na akienda
Rihab tabadilika

Si wote wanabadilika, hata Charlie Sheen wengi walisema atabadilika mbona bado? Kumbadili mtu ukubwani siyo kazi ndogo, zaidi ya Maombi hiyo tabia kuiacha ni vigumu. Toka yupo chuo ni pombe, leo ana kazi ndoa ataacha pombe? Nina mifano mingi, wengi wa hivyo hawabadiliki zaidi ya kuwapa stress za maisha tu wenzi wao.
 
...haya mambo ya kudhani akishaola/akishaolewa atabadilika mnh?!
Wala msijidanganye wanajamii...
 
Pole dada,
Ila naona wewe unamfahamu vizuri.Anahitaji saikolojia zaidi,anahitaji tiba mbadala.Mtu ambaye pombe inamfanya mtumwa ana hatari ya kufa maskini.
 
Nyambura pole sana! Tabia ya binadamu imegawanyika ktk makundi matatu! Na huyo jamaa yupo kundi lapili, kibiology kundi hili ni gumu hivyo katu hatobadilika! Kimsingi umelitambua kabla hujaolewa hivyo waweza kupima lipi jema kwako. Tafakari! Chukua hatua!!!!
 
Kwenye mapenzi hakuna Kisomo, hata uwe na PHD utafanya mambo ambayo mtoto wa shule hiyo ya kata atashanga

Blaki woman mapenzi yana macho na ukikosea signs jua utapoteza muelekeo na furaha yako siku zote... huwezi kujitwisha mzigo eti useme ni mapenzi hakuna mapenzi ya aina hiyo, ashaona huyu jamaa ni mzigo then useme eti unampenda je ni nani ambaye yuko tayari kuteseka eti kwa sababu ya mapenzi??? Labda huyu dada aseme amekosa pa kutokea aka hakuna wanaume wanaomtaka... ndo maana kaleta hii mada hapa!!!
 
Acha upuuzi kua, macho unayo lakini huoni.. masikio unayo lakini husikii :bored: sasa unataka tukusaidie nini wakati kila kitu ushaona kila kitu mwenyewe!! Kwani umeambiwa wanaume wameisha?????:disapointed:

hivi huwezi kumshauri mtu bila kumkashifu?? Mbona watu wanakosa lugha polite, natumai ww sio daktari maana wagonjwa watazidiwa zaidi. Pole dada mpeleke rehab huyo jamaa asipodilika inabidi ufanye hard choice...
 
...unaonesha dalili zote za kurogwa! Fanya hima ufike Loliondo kwa Babu ukapate Kikombe, nawe utazinduka kutoka usingizi mzito wa mapenzi. Ama kweli MAPENZI HAYANA MACHO!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom