Nimemaliza chuo, Sasa naingia kwenye malori

Nimemaliza chuo, Sasa naingia kwenye malori

Na sana sana kwenye hiyo DT ajifunze pia articulated DT, excavator pia ni nzuri zaidi kwa mazingira ya kufanya kazi haichoshi kama DT, ila.....hakuna chuo cha DT labda aende veta shinyanga wale wanakuwaga na ushirikiano na MWADUI wanapeleka wanafunzi wao pale field ndo wanajifunzia DUMP TRUCK mbali na hapo ajichanganye migodini kwa kazi yoyote ili apate fursa ya kujifunza machine hizo. Machines zingine nzuri anaweza akafanya nchi zingine hadi huko UAE anapotaka ni jumbo machine za underground
Kama wewe ni mwanamke basi ni wife material... hayo madude ni kipengele ndo maana mademu wengine wanaamua bora wadange tu.
 
Kama wewe ni mwanamke basi ni wife material... hayo madude ni kipengele ndo maana mademu wengine wanaamua bora wadange tu.
Machines nyingi hazitumii nguvu kama wanawake wengi wanavyodhani, inatumika tu uelewa, kwa mfano DT, ni machine ya kawaida japo haitaki uitumie muda mreeefu sana, inaumiza mgongo, excavator haina hekaheka inafanya kazi muda mrefu sehemu moja inaswing tu, cage operator nayo haina issue sana ni kufuata tu SOP, yaan kiujumla machines nyingi mwanamke anafanya kuna zile rockbreaker pia ni nzuri kwa mwanamke
 
Brother udereva wa malori kwa mtazamo wangu inaanza na love then maslahi baadae ila ukiwa na fikra za maslahi utakuwa disappointed sana
Fanya kazi unayoipenda kama kwenu hela zipo. Kama hela hakuna fanya yenye maslahi.
 
Brother udereva wa malori kwa mtazamo wangu inaanza na love then maslahi baadae ila ukiwa na fikra za maslahi utakuwa disappointed sana
Siyo kweli. Unazungumzia udereva wa zamani sana mkuu.
Sikuizi mambo ni digital ukijifunza unaweza fanya kazi popote duniani
 
Machines nyingi hazitumii nguvu kama wanawake wengi wanavyodhani, inatumika tu uelewa, kwa mfano DT, ni machine ya kawaida japo haitaki uitumie muda mreeefu sana, inaumiza mgongo, excavator haina hekaheka inafanya kazi muda mrefu sehemu moja inaswing tu, cage operator nayo haina issue sana ni kufuata tu SOP, yaan kiujumla machines nyingi mwanamke anafanya kuna zile rockbreaker pia ni nzuri kwa mwanamke
Rockbreaker mwanamke utamuua bure asee.Kelele za pale na vumbi sidhani mwanamke kama anatoboa pale.DT zenyewe za underground madem huwa zinawapa shida maana njia za chini changamoto sana.Kiufupi mining mwanamke ni kuforce tu
 
Siyo kweli. Unazungumzia udereva wa zamani sana mkuu.
Sikuizi mambo ni digital ukijifunza unaweza fanya kazi popote duniani
Labda kwa nchi za wenzetu sipingi ila bongo DSM ni kampuni chache zinazojali maslahi ya madereva
 
Kama utakuwa na lengo la kufanya kazi abroad basi sawa, pata uzoefu then kuwa mjanja. Si ulisikia majuzi watanzania wamefeli interview ya kuendesha gari za mizigo huko arabuni kwasababu ya latest technology ya huko?. Kumbuka kampuni nyingi bongo magari yake ni ya muda hivyo wameachwa sana kiteknolojia na wenzetu. Kuwa na ndoto, kazi ya gari za mizigo Kwa bongo hailipi, hizo pesa za mileage zote zinaishia njiani na hata mshahara kampuni nyingi ni laki tatu ya masimango na unafiki mtupu.

Vumilia, pata uzoefu kama una connection nenda abroad, narudia tena kuwa "mjanja".
 
Back
Top Bottom