Nimemaliza chuo, Sasa naingia kwenye malori

Wakuu ipo hivi
Nina leseni daraja A1 A2 Na D(sina cheti)
KAZI ya vishoka
Nilichukua kwa ajili ya kuendesha Bajaj mwaka 2022 mpaka Sasa Ina miaka mitatu.

Nataka kuingia kwenye fani ya malori kwa kufanya hivi.

Nataka kutafuta laki Tano, nimpe dereva wa Lori ili aniweke kama tingo kwa muda hata wa miezi sita.(Niamani ntakuwa nimeweza kwa vitendo)

Baada ya hapo niende NIT nikasome Sasa course ya udereva malori kwa ajili ya cheti.

Nje kwa kutumia Njia hiyo inaweza kuwa rahisi Mimi kuwa dereva???
Fanya yote hayo na uzuri una elimu hata kama ni Diploma. Chukua uzoefu kutoka chuo kizuri na upambane uende kampuni reputable hata kama ina maslahi njaa. Lengo kwa kwenda kampuni kubwa ni kupata trucks angalau latest au sio za zamani sana. Sio unaenda kampuni za vichochoroni kuendesha Scania 113, nje uko unapewa buttons unakodoa macho.

Baada ya hapo tafuta fursa nje utazipata tu. Nenda kama Australia ukae miaka mitano urudi nchini na hela ambayo ungeendesha malori miaka 35 bila kupata.
 
Leseni ukiwa nayo inachukua miaka mingapi kurenew je ni miaka mitano kama ilivyo andikwa?
 
Dump truck then ukimaliza fork lift au ukiona vipi dump truck inatosha then nenda either Nyanzaga,buly,North Mara GGM au Shantamine Singida kuna kitu wanaita kusotea unaweza bahatisha.Dump truck ukiwa na connection migodini kazi unapata
Na sana sana kwenye hiyo DT ajifunze pia articulated DT, excavator pia ni nzuri zaidi kwa mazingira ya kufanya kazi haichoshi kama DT, ila.....hakuna chuo cha DT labda aende veta shinyanga wale wanakuwaga na ushirikiano na MWADUI wanapeleka wanafunzi wao pale field ndo wanajifunzia DUMP TRUCK mbali na hapo ajichanganye migodini kwa kazi yoyote ili apate fursa ya kujifunza machine hizo. Machines zingine nzuri anaweza akafanya nchi zingine hadi huko UAE anapotaka ni jumbo machine za underground
 
Na sana sana kwenye hiyo DT ajifunze pia articulated DT, excavator pia ni nzuri zaidi kwa mazingira ya kufanya kazi haichoshi kama DT, ila.....hakuna chuo cha DT labda aende veta shinyanga wale wanakuwaga na ushirikiano na MWADUI wanapeleka wanafunzi wao pale field ndo wanajifunzia DUMP TRUCK mbali na hapo ajichanganye migodini kwa kazi youote
 
Na sana sana kwenye hiyo DT ajifunze pia articulated DT, excavator pia ni nzuri zaidi kwa mazingira ya kufanya kazi haichoshi kama DT, ila.....hakuna chuo cha DT labda aende veta shinyanga wale wanakuwaga na ushirikiano na MWADUI wanapeleka wanafunzi wao pale field ndo wanajifunzia DUMP TRUCK mbali na hapo ajichanganye migodini kwa kazi yoyote ili apate fursa ya kujifunza machine hizo. Machines zingine nzuri anaweza akafanya nchi zingine hadi huko UAE anapotaka ni jumbo machine za underground
Yeah Shinyanga wapo vizuri kwa training za machine.Jumbo kuna chuo wanafundisha SA lakini sidhani kama ukigraduate unaweza kuaminiwa uka drill.Sema dump truck nliona nyepesi sana kuna kipindi Buly walikuwa wanatrain hadi mademu ku operate za underground
 
Underground buly wanatumia zile ndogo ADT, na wanafanya wadada wengi tu, hata jumbo ukiwa Underground una nafasi ya kujifunza sio lazima uende chuoni, na mafunzo mazuri ni haya ya field kabisa sio ya darasani, hata wanaotoka veta shinyanga huwa baaado sana wanakuwa na nadharia sehemu kubwa na sio vitendo na ujue pia VETA shinyanga hawana DUMP TRUCK MACHINE ya kujifunzia. Wana will loader, excavator, grader na dozer
 
Yeah mafunzo mazuri ni field ndiyo sema sasa entry unapata vipi na ukipata inabidi uwe na mtu ndani maana kupata kibali cha kufundishwa Jumbo au mashine nyingine za drilling kama solo ni mtihani man.Sema kuna jamaa alisema kuna chuo Dar nisijue wapi wanafundisha Dump truck
 
Sijajua kwa TZ wanapofundisha DT maana vyuo wanavyotoa course za heavy duty machine ndo kama hiyo shinyanga haina, NIT sijui kama zipo na Morogoro pia nliskia wanatoa course za heavy duty sa sijui kama ni kweli. DT ni machine moja tamu sana haichukui muda kuijua kama unaendesha gari ndogo maana ni auto tu utofauti unakuwa kwenye ukubwa wake kulimanage usigonge zile windrows, na kuzijua gauges zake ndo nyiiingi na kureverse kuingia kwenye bucket kupakia na kutip
 
Wakuu ipo hivi
Nina leseni daraja A1 A2 Na D(sina cheti)
KAZI ya vishoka
Nilichukua kwa ajili ya kuendesha Bajaj mwaka 2022 mpaka Sasa Ina miaka mitatu.

Nataka kuingia kwenye fani ya malori kwa kufanya hivi.

Nataka kutafuta laki Tano, nimpe dereva wa Lori ili aniweke kama tingo kwa muda hata wa miezi sita.(Niamani ntakuwa nimeweza kwa vitendo)

Baada ya hapo niende NIT nikasome Sasa course ya udereva malori kwa ajili ya cheti.

Nje kwa kutumia Njia hiyo inaweza kuwa rahisi Mimi kuwa dereva???
Veta Kihonda Wahi Chap Chap Kozi Inaendelea
Nyingine Mwezi Wa Nane Pesa Uliyonayo Inatosha. Utatoka Na Cheti Safi Utaongeza Darsja E
 
Ok usikae ile siti ya kushoto kwa dereva kama gari ina kitanda kaa nyuma ya dereva ukikaa pale kushoto ndo sehemu wanayoipigiza kwenye ajali
 
Haa Hiyo Siti Lazima Akae Tu
 
Mkuu lengo ni kufanya KAZI UAE sio Tanzania
Madereva kibao walipelekwa huko UAE wanapewa gari kwa majaribio wanasema hawajawahi kuziona hizo gari tangu wazaliwe.

Gari za UAE ni umeme mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom