!! Nimelimwa Notes: Mke wangu analipuliza !!

!! Nimelimwa Notes: Mke wangu analipuliza !!

Mkuu Uruguay mtapata tu nyumba nzuri za kupanga...na 'your beautiful wife' ataendelea kusmoke wood kwa raha zake! Lakini lemme ask kwani kwenye mkataba wenu wa upangaji kuna kipengele kinachokataza mpangaji kukoka weed?

"Hakuna kinachokataza wala kuruhusu na mkiendelea nitamuita Mjumbe".... hayo ni baadhi ya maneno ya Landlord.
 
Bonge ya starehe hiyo mzee jiunge nae kama vp
 
Kama na wewe huvuti ndumu lazima wife atakuwa anakupelekesha sana kwenye 6*6. Maana hiyo ni bonge ya kiagra

mimi jicho lake tu ndio huwa lina nichanganya.. alafu anakua sio mkali hata nikikosea..
sasa ndio nimegundua baada ya kupata maelezo kutoka kwa rafiki yake ambaye nilua namuheshimu
kumbe naye ana smok..
 
na wewe utaanza kupuliza tu siku moja. na kero za wenye nyumba zikizidi ndio utaalakisha ujenzi.
 
Hahahaha Hamieni Uruguay ambako wame-legalize Bhangi ili kuwakomoa walanguzi..........
 
Pole mwayaa mkuu ila bange hainaga tatizo kama sigara!kiafya..so mwache tu aendelee kula raha jaman!mbona ww unakunywa pombee?
 
Weed is good....nina so many days without puffing that damn good shit.Let me go and puff myself.
 
Pole mwayaa mkuu ila bange hainaga tatizo kama sigara!kiafya..so mwache tu aendelee kula raha jaman!mbona ww unakunywa pombee?

Hebu waambie mkuu. Watu wana negative atitude towards weed but to me that thing is so sweet.
 
Hebu nipe namba ya mkeo anifundishe ili nirithi mikoba yake afu yeye aache!!!
 
Baba Mlevi mama mvuta bangi na watoto wanatumia nini hujamalizia mkuu.
 
Habari wana JF, Shikamooni wana MMU.

The beautful wife of mine smook weed.
Jamani juzi kati nimembamba mke wangu akiwa analipuliza. Tena alipo niona wala hakushtuka
kwa mapoozi akaendelea kulikoka.. ahh! mi nikazani sigara kwani huwa anapiga siku moja moja
anadai inaondoa stress na kwa sababu nilikua tungi nikazama ndani.
Leo nimepewa notes na baba mwenye nyumba kwa mke wangu kuvuta bangi hadharani (Ila hii sio ishu nitamalizana nae).

Mke wangu nikimuuliza anasema mbona wewe unakunywa?.. Kwani tatizo nini?...

Story ni ndefu sema nimeifupisha.


Mkuu kama ukiamua kumsamehe, na watoto mtakaozaa itabidi uwe tayar kuwasamehe maana hawawezi kuwa mbali na tukio kama hilo.
 
Back
Top Bottom