!! Nimelimwa Notes: Mke wangu analipuliza !!

!! Nimelimwa Notes: Mke wangu analipuliza !!

Kwanza kabisa ujue anakusaliti! Haiwezekani akawa kajifunza mwenyewe *run run*
 
Ni kweli kabisa kwa mwanamke mwenye akili hawezi kusema kuwa kwa nini wewe unatumia tena huyu siyo walikutana kwenye starehe tu mbali alikuwa muuza kuku ndio wanaotumia sana anyway kwa sababu alikuwa ameshaanza na anaishi naye aache kwanza yeye pombe halafu ndio amwambie ndio anaweza kuna siku atakuona umesimama na mwanamke na yeye atatafuta mwanamume wa kusimama naye ili mfanane
kweli kuna wanawake majanga
Kataa ukubali mpaka hapo kwa watu wenye fikira pama tumegundua huyo mke wako mlikutana sehemu za Anasa!!
 
Hapo hakuna wa kumrekebisha mwenzie nyote nyie ni shida sema wewe umezidiwa viwango na ze wife
 
Pole mkuu,siku hizi wanawake wengi wanavuta bangi na kunywa konyagi,,,,,,:disapointed:
 
Habari wana JF, Shikamooni wana MMU.

The beautful wife of mine smook weed.
Jamani juzi kati nimembamba mke wangu akiwa analipuliza. Tena alipo niona wala hakushtuka
kwa mapoozi akaendelea kulikoka.. ahh! mi nikazani sigara kwani huwa anapiga siku moja moja
anadai inaondoa stress na kwa sababu nilikua tungi nikazama ndani.
Leo nimepewa notes na baba mwenye nyumba kwa mke wangu kuvuta bangi hadharani (Ila hii sio ishu nitamalizana nae).

Mke wangu nikimuuliza anasema mbona wewe unakunywa?.. Kwani tatizo nini?...

Story ni ndefu sema nimeifupisha.
Wenye kubonga ung'eng'e wanasema "If you can't beat them join them" Lakuongeza sina mkuu.
 
Tena hiyo kama amezoea na kuvuta na haimudhuru basi mwache atapunguza mwenyewe.

Tena ni bora sana kuliko sigara.

Inatumika pia kutibu magonjwa. Ongea nae bila kukasirika utaona anapunguza au kuacha mwenyewe. Msaidia kunywa kwako kumemuaffect vibaya labda ulikuwa unampiga na kumtesa. Acha kunywa bila limit. Onja acha sio kulewa au acha kabisa unaona uliyosababisha?
 
Habari wana JF, Shikamooni wana MMU.

The beautful wife of mine smook weed.
Jamani juzi kati nimembamba mke wangu akiwa analipuliza. Tena alipo niona wala hakushtuka
kwa mapoozi akaendelea kulikoka.. ahh! mi nikazani sigara kwani huwa anapiga siku moja moja
anadai inaondoa stress na kwa sababu nilikua tungi nikazama ndani.
Leo nimepewa notes na baba mwenye nyumba kwa mke wangu kuvuta bangi hadharani (Ila hii sio ishu nitamalizana nae).

Mke wangu nikimuuliza anasema mbona wewe unakunywa?.. Kwani tatizo nini?...

Story ni ndefu sema nimeifupisha.

wakina lukosi wote ndio mlivyo
 
Back
Top Bottom