Nimelikoroga

sasa nikikataa halafu huyu mkewe akanitaja hapo baadaye. duuuh nipo njia panda

Unayafahamu haya maneno DEMBA?

"what does not kill us,makes us stronger"
 
Last edited by a moderator:
usinichekeshe mwenzio ninamawazo. yaani natamani usiku usiingie

Hahaha!!! sitanii atii maana nishafanya rescue missions kama hizi mara nyingi sana
 
Akhuuuuuu..... Akupishe huyu mkurya, kwani mpo kwenye kisiwa chenu pekeyenu (wewe, yeye na huyo hawara yake???) Anapoyafanya hayo hajui kama kuna watu wengine wanamuona???

Simamia msimamo wako wa usalama wako ingawa ni uongo!!!!!!!!
 

Ila haya mambo ya mapenzi bana hayaelewiki
 
DEMBA kumbuka yule ni mke na mume hvyo yawezakuwa best ako alishalainika na kukutaja. Iweje nyumba nzma na majiran wote akushuku wewe mwenyewe? Think! Think big! Bora uende na maelezo ulivyotongozwa na mkewe kwa muda mref na kama binadam ilkufka muda ukalegea na kuachia ILA haya uyafanye baada ya kureport polisi na uwe na kaulinzi flan pemben.
 
Last edited by a moderator:
DEMBA, njoo kwangu shemeji wasijekudhuru mwayego...

#fursa
 
Last edited by a moderator:

amenishuku mimi kwa sababu tunakaa mimi na wao tu. halafu hatuna muingiliano na majirani kabisa. ninauhakika hajanitaja bado. ila hapo baadayee wakipatana labda ndio atanitaja.
 
Akhuuuuuu..... Akupishe huyu mkurya, kwani mpo kwenye kisiwa chenu pekeyenu (wewe, yeye na huyo hawara yake???) Anapoyafanya hayo hajui kama kuna watu wengine wanamuona???

Simamia msimamo wako wa usalama wako ingawa ni uongo!!!!!!!!

umeona eeeh!! uongo wenye manufaa nadhan hata mungu atanisamehe.
 
sasa nikikataa halafu huyu mkewe akanitaja hapo baadaye. duuuh nipo njia panda

We usimuogope wala nini,huna haja ya kukaa kwa wasiwasi kwajl ya mtu kama huyo...kwanza dhamira yake yenyewe itamsuta na si ajabu akakuonea aibu. We kua jasiri tu ukimtegemea na kumwogopa Mungu wako awezae kuua mwili na roho. Aogopacho mtu ndicho kimpatacho. USIOGOPE
 
Mie sijaelewa vizuri hiyo nyumba mnaishi wewe na huyo jamaa tu,?
na kwanini huyo dada aendelee kukuuliza wewe tu? au mnakauhusiano
furani?, hiyo siri unaiiua wewe na huyo mpangaji mwenzio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…