Mwambie ukweli kama ulivyo tuambia sisi,
Hana cha kukufanya ----- huyo mkurya, anapomsaliti mkewe.
...mbaf zake
I miss you more...!!
yamekwisha ndugu yangu
haa haaa ondoa hofu Sista habari kamili ni kesho. ila kwa ufupi amekiri kosa na mimi nimemwambia ukweli kwamba taarifa mke wake alishapewa na watu wengine mimi aliniuliza kuthibitisha tu.nimemshauri amtumie nauli mkewe aje au aende yeye mwenyewe wayamalize. amekubali1. kikao kilikuwa kirefu toka saa 12 jioni
2. jamaa kaingia kwako na pens
3. unakuja kutupa mrejesho just "yameisha"
its not fair. tupe mrejesho wenye mashiko. je ulikiri kosa? ulikataa? response yake ilikuwaje nk
haa haaa ondoa hofu sinta habari kamili ni kesho. ila kwa ufupi amekiri kosa na mimi nimemwambia ukweli kwamba taarifa mke wake alishapewa na watu wengine mimi aliniuliza kuthibitisha tu.nimemshauri amtumie nauli mkewe aje au aende yeye mwenyewe wayamalize. amekubali
DEMBA hivi kweli nje kulikuwa na mtu kweli au na huyo mdogo wako mlimtuma amnunulie soda mgeni Chalinze?Maana mrejesho wa mashaka,wanajua kubembeleza wakurya hao!!Toka saa 12 mpaka saa 4 kasoro!1. kikao kilikuwa kirefu toka saa 12 jioni
2. jamaa kaingia kwako na pens
3. unakuja kutupa mrejesho just "yameisha"
its not fair. tupe mrejesho wenye mashiko. je ulikiri kosa? ulikataa? response yake ilikuwaje nk
Kama vipi nije nikusaidiendio namsubiri tu hapa kieleweke.
haa haa haa jamn kikao kilikuwa cha saa moja tu saa mbili hadi saa tatu. na sikuwa peke yanguDEMBA hivi kweli nje kulikuwa na mtu kweli au na huyo mdogo wako mlimtuma amnunulie soda mgeni Chalinze?Maana mrejesho wa mashaka,wanajua kubembeleza wakurya hao!!Toka saa 12 mpaka saa 4 kasoro!
kimeisha 'Valentina' mambo yameenda vizuri tu