Nimelidondosha Bumunda jingine leo. Sitaki ujinga

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,180
Reaction score
22,803
Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.

Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana

Screenshot_2025-08-01-08-04-32-781_com.whatsapp~2.jpg
 
Duuuuh... Umetumia maneno makali ya kunichoma moyo. Uwe na huruma basi ndgu yangu....
Malaya hawana shukrani mkuu, umeona the way alivyoreact ulivyomtumia hiyo pesa bila ya kutolea? Imagine ungemtumia bi mkubwa, mzee au nduguzo wa karibu nyumbani namna wangeshukuru na kukuombea blessings? Now you got me? Once a whore always a whore, 'em motherfuckers belong to street.
 
Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea.

Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili nzuri. Itakuwa nami sina akili kama yao. Nasikitika sana

View attachment 3426642
Umemkomesha hasa huyo manzi😁😁😁😁
 
Hahaha 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom