Nimelia vya kutosha...

Wiyelelee

JF-Expert Member
Nov 9, 2012
1,071
347
225482_4698126043547_1470329208_n.jpg

Wanawake wengi wanapenda sana kulia..hata wakifurahia jambo wao wanalia. Ukiona mwanaume analia, haaa jua kuna jambo na kilio chake chaweza kusababisha wengi walie...
 
jamaaa anaonekana ana uchungu sana,ila kulia huku kutamwacha huru baadae
 
dah mwanangu poleeeeeeeeee, njoo nikupe my liyyle dada mpole huyo
 
Wiyelele ulitulia hapa kati rafiki yangu!nini tena mpka ulie kilio cha wazi wazi hiv!
hiv wifi yangu anajua kuwa unajisikia hv kwake!
cn i do something?
mi mwanzo nilikuwa najisikia vibaya sana kiasi cha kuona namna gani sijui!but nafkir natakiwa niache kukuhukumu!nijaribu kufanya kitu flan!
twenzetu chemba!
mi siko mkamilifu kwangu lakini nahisi hapa kuna shida zaidiya hii tuionayo nyuma ya keyboard
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume kulia si lazima umwage chozi ukinuna tu umelia.
 
Wiyelele ulitulia hapa kati rafiki yangu!nini tena mpka ulie kilio cha wazi wazi hiv!
hiv wifi yangu anajua kuwa unajisikia hv kwake!
cn i do something?
mi mwanzo nilikuwa najisikia vibaya sana kiasi cha kuona namna gani sijui!but nafkir natakiwa niache kukuhukumu!nijaribu kufanya kitu flan!
twenzetu chemba!
mi siko mkamilifu kwangu lakini nahisi hapa kuna shida zaidiya hii tuionayo nyuma ya keyboard

Mtani wangu snowhite take the lead am behind you, honestly,tunaweza tukawa tunamshambulia huyu Wiyelele kumbe ana matatizo makubwa.Anza ukishindwa give me a shout,will try my best too
 
attachment.php

Pole jamaa yangu yaani kugongewa tu mke unalia hivyo
Mwanafalsafa alisema na wewe kagonge wa mwenzako ili kupunguza machungu
Halafu umemkuta ana meno yote 32 na si bikra hutaki abadili mswaki
tupe sababu ingine labda Wife kauza nyumba na kakufunga Jela Segerea vumilia utatoka tu.
 
Mtani wangu snowhite take the lead am behind you, honestly,tunaweza tukawa tunamshambulia huyu Wiyelele kumbe ana matatizo makubwa.Anza ukishindwa give me a shout,will try my best too

sawa mtani!
ipo haja tuliangalie hili kwa jicho lingine sio lawama tu!
 
Umewahi kulia? Mwenzenu nimelizwa sana na huyu mke wangu. Sasa nasema basi, bora nihamie Kimara alikosema Lisa.
Nadhani nitaachana na kilio hiki ili abaki salama.

View attachment 87013

Kama kuhamia Kimara ni suluhisho la matatizo yako, tafadhali hama hata leo!
Ila nikupe angalizo moja, ingawa sijui sababu inayokuliza - kukimbia tatizo si njia sahihi ya kutatua tatizo, njia ya kutatua tatizo ni kukabiliana na tatizo. Una uhakika gani kama ukihamia Kimara utampata mwingine wa kukuliza? Ukimpata wa kukuliza utahamia wapi tena? Bunju, Mbagala au utahama mkoa kabisa?

Acha na mimi nilie kwa uchungu kukuonea huruma mshkaji wangu .....!

dearbro1.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom