Nimelia vya kutosha...

Nimelia vya kutosha...

Huyo jamaa kapoteza kiti cha Ubunge??
 
sababu ni muhimu zaidi maana kila jambo lina mwanzo na kukimbia tatizo sio njia ya kusuruhisha tatizo jikaze wewe ni kidume acha utoto
 
Imekuwaje hadi umelizwa na mwanamke wewe?

Mkuu usipime, hawapigi fimbo wala vibao ila wakiamua kukufanyia kitu mbaya huwezi amini na matokeo yake ndio kama hayo kwenye picha.....kwa ujumla wanaweza kuharibu maisha yako ukaishia kujiliwaza na viloba tu.
 
Kama kuhamia Kimara ni suluhisho la matatizo yako, tafadhali hama hata leo!
Ila nikupe angalizo moja, ingawa sijui sababu inayokuliza - kukimbia tatizo si njia sahihi ya kutatua tatizo, njia ya kutatua tatizo na kukabiliana na tatizo. Una uhakika gani kama ukihamia Kimara utampata mwingine wa kukuliza? Ukimpata wa kukuliza utahamia wapi tena? Bunju, Mbagala au utahama mkoa kabisa?

Acha na mimi nilie kwa uchungu kukuonea huruma mshkaji wangu .....!

dearbro1.jpg
unaona sasa....
images (6).jpg
 
masikini wanavyolia hawa watu, kuna watu wanajua kulia! nasikia kuna wengine wana vikundi vya kukodisha kwa ajili ya misiba. Hivi kulia ni kama talent vile? Mi sio milizi saana ila k..wakati ... mama toto...najikuta nalia, mpaka ananiziba mdomo!!?
 
kid-crying.jpg

Haya ni matatizo madogomadogo ya hapa duniani Sasa siju siku ya kiama itatuwia vipi ee Mungu Twakuomba Utusaidie
 
Kama kuhamia Kimara ni suluhisho la matatizo yako, tafadhali hama hata leo!
Ila nikupe angalizo moja, ingawa sijui sababu inayokuliza - kukimbia tatizo si njia sahihi ya kutatua tatizo, njia ya kutatua tatizo ni kukabiliana na tatizo. Una uhakika gani kama ukihamia Kimara utampata mwingine wa kukuliza? Ukimpata wa kukuliza utahamia wapi tena? Bunju, Mbagala au utahama mkoa kabisa?

Acha na mimi nilie kwa uchungu kukuonea huruma mshkaji wangu .....!

dearbro1.jpg

Hahahahaha! Nimeacha kulia kabisa! Nisilize wengi...
 
Mmmh qengi wanalia kama kawa utakuta analia kisa Simba amefungwa.....ushabiki wa kupitiliza
 
mwanaume hulia lakni ukumpa tunda atachekelea pembeni, na hukita kwa nguvu sana
 
Back
Top Bottom